unalipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Halima Bulembo: Mikopo ya kausha damu inawakausha kwelikweli wanawake na kuwadhalilisha. Asema ukikopa elfu 50 unalipa jumla 85

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama Umaarufu unalipa nini kimemfanya Haji Manara akose Kura CCM inayohusishwa na Yanga SC Kimahusiano?

    Kazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji unalipa kuliko kilimo

    Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate hela, huu ni udhoefu nilioupata field.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mtumba nchi gani unalipa?

    Habari za mchana wapendwa! Moja kwa moja kwenye mada. Kwa muda mrefu nimetamani sana kufanya biashara ya kuuza mitumba lakini sijui ni mtumba toka nchi gani unalipa. Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la mtumba anijuze nipate kuanza! Nilitamani sana nipate balo la mtumba wa watoto na wanawake...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji gani utalipa sana Tanzania?

    Kama na wadau wengine walivyoeleza idadi ya watu kwa Tanzania inakua kwa kasi sana wakati ardhi iko fixed hivyo basi kupelekea thamani ya ardhi kupanda kila uchao. Kwa maoni Yangu na analysis zangu badala ya MTU kuwekeza kwenye bond ni bora zaidi na faida kuwekeza kwenye ardhi au Real Estate...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uaminifu unalipa

    Ndugu zangu niwape jambo hili ambalo limenitokea mimi mwenyewe siku kama mbili zimepita, nilikuwa napeleka mzigo kwa mteja sasa kufika kwake nikamkabidhi halafu akanipatia pesa nikaondoka nikiwa bado maeneo yaleyale nikaangalia simu yangu nikagundua mteja alishalipia ule mzigo nadhani alisahau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…