Kama na wadau wengine walivyoeleza idadi ya watu kwa Tanzania inakua kwa kasi sana wakati ardhi iko fixed hivyo basi kupelekea thamani ya ardhi kupanda kila uchao.
Kwa maoni Yangu na analysis zangu badala ya MTU kuwekeza kwenye bond ni bora zaidi na faida kuwekeza kwenye ardhi au Real Estate...
Ndugu zangu niwape jambo hili ambalo limenitokea mimi mwenyewe siku kama mbili zimepita, nilikuwa napeleka mzigo kwa mteja sasa kufika kwake nikamkabidhi halafu akanipatia pesa nikaondoka nikiwa bado maeneo yaleyale nikaangalia simu yangu nikagundua mteja alishalipia ule mzigo nadhani alisahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.