unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Rais Magufuli alikataa kuongeza mikoa kwa kuwa inaongeza gharama, alisema la muhimu wananchi wapatiwe huduma

    Magufuli alipoombwa kuugawa mkoa wa Tabora ambao unastahili zaidi kugawanywa kuliko huko Chato alijibu na kusema hawezi kugawa mikoa kwa sababu ni gharama, Pia alishaombwa kuugawa mkoa wa Morogoro na akatoa majibu hayo hayo. Leo Hoi tunasikia mkoa wa Chato umegawanywa kilazima licha ya wananchi...
  2. Z

    Haki ndio salama yako, sio unafiki

    Ukiwa kiongozi sehemu yoyote ile ukitaka kuwa salama hapa duniani na Mbiguni basi wewe tenda Haki bila kujali, ilimradi unachokitenda ni haki mbele za Mungu na mbele ya binaadamu wenzako. Na kinyume chake, Unafiki madhara yake ni makubwa sana kwa binaadamu wenzako na mbele za Mungu. Hakuna...
  3. Kama kweli Sabaya ana hii hatia leo aburutwe Mahakamani

    Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana. Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari Msangi alienda kutoa msaada kwa vijana waliokuwa wamewekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake kwa...
  4. Nakasirishwa na unafiki wa viongozi wetu

    Wananchi tunafanya kazi kwa bidii na tunapenda haki lakini viongozi wetu hawaonyeshi kuwa na nia ya kututetea wametuacha katika mazingira duni hawatusaidii kuboresha hali zetu na ndio sababu miaka ya nyuma watu walikuwa wanajiunga na migomo. Viongozi wetu (wa kisiasa na dini) wanaishi maisha...
  5. Ulishawai kunafikiwa na rafiki?

    Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki, ila sometimes we meet with wrong friends. Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala mara nyingine anakuja kwetu...
  6. Mbunge Peter Msigwa unaongoza kwa unafiki nchini

    WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU". å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha. Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…