Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.
Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na...
Kuelekea kwenye Zoezi la uchaguzi Mkuu wa Tanzania Jumatano ya Oktoba 29, 2025, Viongozi wa dini, kijamii pamoja na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameungana pamoja kuhimiza amani, wakiitaja kama rasilimali muhimu kwa maendeleo ya Kijamii, kiuchumi, Viongozi wa dini wakisema amani ndiyo Neema muhimu...
Team
Kanukuu mambo mengi
Amani ya nchi
Usalama wa nchi
Kuwekeza ktk raslimali watu
Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
Utulivu wa kisiasa
Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje
Kasema...
Amani ni kitu kimoja kizuri sana. Nchi yetu ina amani kiujumla. Aman na upendo tunajivunia ukivuruga amani ya nchi yetu fasta tunakupinga Bongo lazima ukikubali kwenye ulinzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.