umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ziruhusiwe zilipe watumishi wake kadri ya makusanyo kama ilivyo kwa mashirika ya umma

    Ukiuliza kwanini mashirika ya umma mishahara yao ni tofauti na wizara na halmashauri utaambiwa haya mashirika yanazalisha fedha kwa serikali na kujiendesha. Tuje kwa halmashauri huku kuna tofauti kubwa ya makusanyo kati ya halmashauri moja na nyingine lakini mishahara ya watumishi wote wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana

    Wakati watu wanahimizwa kusoma tangu utotoni na kujiendeleza hata wakiwa makazini, ila ukweli ni kwamba, kusoma sana na kupata ma-degree mengi, sometimes huwa hakuna maana sana na hii ni kutokana na ulipaji wa mishahara serikalini kutegemea mtu anafanya kazi katika taasisi au shirika gani la...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

    Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana. Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Imani, uelewa na msimamo wako kuhusu Utumishi wa Umma ni nguzo kuu ya kuzaliwa Taifa mfu

    Nimemsikiliza Profesa Kabudi akieleza nini Mtumishi wa Umma anapaswa kufanya, baadhi ya Mambo anayosisitiza ni pamoja na mtumishi wa Umma: 1. Kutii (obey) mamlaka iliyopo juu yake. 2. Kama ataki kuendana na mamlaka iliyopo juu yake aache kazi. Katika karne ya sasa utii wa mamlaka za...
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…