umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Biteko, ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki na Uzinduzi wa Mfumo wa NEST

    HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...
  2. JamiiForums Tanzania Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili?

    Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili. Simu zao hazipatikani kabisa na kama zinapatikana hazipokelewi wala hawajibu emails. Hili ni gonjwa sugu ofisi za umma karibu zote bongo. Jana niliingia website ya STAMICO kutafuta contact info zao cha ajabu namba waliyoweka...
  4. JamiiForums Tanzania Hii nchi ambao wako nje ya utumishi wa umma wana possibility kubwa ya kutajirika kuliko watumishi wa umma.

    Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao. Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
  5. JamiiForums Tanzania Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini

    https://www.youtube.com/live/SlT8QJSt7_o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), leo tarehe 28 Agosti, 2024. Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Ione haja ya kufanya promotion kwa wafanyakazi wa Umma haswa wanaoonesha utofauti katika kazi zao kama ilivyo kwa wanajeshi na Polise

    Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii. Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu...
  8. JamiiForums Tanzania Nehemiah Mchechu: Taasisi na Mashirika ya Umma wafikirie njia za kuwekeza nje ya nchi

    Taasisi na Mashirika ya Umma nchini yametakiwa kujikita katika kufikiria njia mbalimbali zitakazowawezesha kuwekeza nje ya nchi ili kusaidia nchi iendelee kujitawala kiuchumi. Rai hiyo imetolewa leo Agosti 27, 2024 jijini Arusha wakati Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu akizungumza na...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli unaojulikana lakini kila mtumishi wa UMMA anajifanya hajui kitu

    1. Mshahara wa walimu na askari magereza ndio mshahara pekee wa watumishi wa umma unaokutana na mshahara mwingine. Hii ni kwasababu wanajua wakifanya masihara tu wamekula tope. 2. Watumishi walioko kwenye taasisi zenye udambwidambwi (madili) mshahara wao unaisha ndani ya wiki moja tu hata kama...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana kwenye makambi Kanisa la Waadvetista Wasabato Salasala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala Nyote mnakaribishwa sana Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na kidunia pia Kwaya za kutosha zitahudumu Usipange kukosa mtu wa Mungu Mtaarifu mwenzako Mungu...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Je Samia ametumia Fedha za umma kufadhili Tamasha la kizimkazi au Fedha binafsi?

    Hii HOJA inanitatiza sana, nilisikia Kauli kuwa Tamasha la Mama Kizimkazi limedhaminiwa na Rais Samia, ila nimejaribu kudadavua sijapata kuelewa hata kidogo. Viongozi karibu wote wa serikali wamekuwa wakiita Fedha za bajeti kuu ya serikali kuwa ni Fedha za mama, na kwamba miradi yote ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Unadhani Tamasha ya Kizimkazi linaendeshwa kwa fedha za umma au kuna wahisani?

    Watumishi wa umma hasa viongozi wakuu wa taasisi na mashirika ya umma wamesafiri kutoka Dodoma na mikoa mingine kwenda Zanzibar . Wasanii na waandishi wa habari wamekusanyika Zanzibar Vikundi vya ngoma na wananchi mbalimbali hasa wanaccm wapo wapo Zanzibar Je, gharama hizi zinalipwa na kodi...
  13. JamiiForums Tanzania Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  14. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia tarehe 26 Agosti 2024...
  15. JamiiForums Tanzania Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

    Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa. Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar Imebinafsisha Uendeshaji wa Hospitali za Umma

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa. Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024...
  17. JamiiForums Tanzania TALES OF LOVE: Mikasa ya kweli ya mapenzi.

    ...
  18. JamiiForums Tanzania Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

    Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa! Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” “Mbowe ni Alfa na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania UVCCM yakanusha kutakiwa kumiliki kadi ya CCM kupata mikopo vyuoni

    Kuhusiana na Suala la Mikopo UDSM
  20. JamiiForums Tanzania Taifa lolote makini lazima liwe mikononi mwa vijana.Vijana makini watalinda mali za umma.

    Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana. Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao. Soma Pia: Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…