umiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

    Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) ===== October 8, 2021 by Global Publishers MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Umiliki wa ardhi uwe wa Mtu binafsi au kampuni binafsi (inayomilikiwa na raia). Tuachane na hii ya kumilikiwa na Rais

    Katika uchumi ardhi ni moja wapo ya rasilimali muhimu. Katika biashara na uwekezaji, ardhi ni kati ya rasilimali muhimu sana. Hivyo, umiliki wa rasilimali hii ni jambo la muhimu sana katika kutumia hii rasilimali muhimu. Juu au ndani ya rasilimali hii, rasilimali zingine huwekwa, za muda mfupi...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mfanyabiashara Salehe Alamri kumiliki silaha kinyume na sheria yapigwa kalenda hadi September 28, 2021

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi wilayani Babati mkoani Manyara . Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa Jana na hakimu wa mahakama hiyo,Kimario hadi September 28 mwaka...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni ya PAP yabatilishiwa umiliki wa IPTL

    Mahakama yabatilisha umiliki wa PAP, wakati ikisemekana PAP ndiye mmilikia wa IPTL na kufikia PAP kuiwekea dhamana mitambo yake sasa Mahakama imebatilisha umiliki uo. Je, IPTL ni ya nani? ====== MAHAKAMA ya Rufaa imerudisha kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) chini ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waliosema CHADEMA ni taasisi wala sio mtu walikuwa na maana gani?

    Habari zenu ndugu zangu. Watanzania wenzangu ni wiki ya pili sasa toka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwe, chama kimekuwa hakina muelekeo. Kila mmoja ndani ya chama anatafuta njia ya kunufaika kupitia mgongo wa kesi ya Mbowe. Wapo wanaotaka kutumia ujinga wa wanachama wao kupiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…