umiliki wa silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa kuhusu umiliki halali wa silaha za moto kwa mujibu wa sheria za Tanzania

    Angalizo muhimu: Huu uzi ni kwa ajili ya kupata taarifa na hauhusiani na uvunjifu wowote wa sheria za nchi. Kama hii topic inakuzidi uelewa au huna jibu la swali lolote nililouliza hapo chini, si lazima uchangie (nipo serious kidogo, mazoea tuyaweke pembeni). Maswali: Naomba kujua, ni zipi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kurithi silaha?

    Je, ninaweza kurithi silaha kutoka kwa mzazi wangu marehemu?
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Je, sheria kuzuia raia kumiliki silaha ndio nguvu ya wasiojulikana kuteka watu kwa urahisi?

    Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio. Ila cha kushangaza watekaji waliopo hapa tanzania ndio wenye matumizi ya vifaa hivyo ukilinganisha si rahisi nchi kukupa silahaa hiyo...
  4. PathwayzZote

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Marekani na umiliki wa silaha

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Kwa waliopo marekani mkuje mtujuze haya. 1. Matumizi ya Silaha huko majuu yakoje kwasababu tunasikia Sana watu wanagongana Sana risasi Hadi sio poa yaani. 2. Je, ni halali kabisa kumiliki Silaha uko YUES 3.Tupeni majimbo ambayo wadau wanagongana...
Back
Top Bottom