ulokole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukitoa wazungu, Ulokole ndio Ukiristo halisi wa Africa

    Hizi taasisi unazoziona zimesimama, kama vile Roma au Lutheran, ni utaratibu na misingi ya wazugu na haina uhusiano na ukiristo, hata ile chain of command mfano utoka papa hadi muumini wa kawaida pale kimara temboni, ni taratibu za kizungu ambazo hazina uhusiano wa moja kwa moja a ukiristo...
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Ulokole

    Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri Na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake. YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe Kwa kukukodolea macho tu, Nawewe kwa upumbavu wako unatangaza mfungo hapo nyumbani siku 7, Yaani unasumbua watoto kwenye lishe...
Back
Top Bottom