ukiukaji wa sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    Maandamano Kikatiba: Haki ya Kujieleza na Kukandamiza Haki za Wananchi ni Ukiukaji wa Sheria

    Katika mfumo wa demokrasia, maandamano ni haki ya kikatiba inayotambulika wazi katika Ibara ya 18 na 29 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haki hii inahusisha uhuru wa kujieleza na kushiriki katika masuala ya kijamii na kisiasa. Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kikatiba kuzuia au...
  2. Elly official

    Israel na ukiukaji wa sheria za vita: Kwa nini hakuna nchi inayochukua hatua?

    1. UTANGULIZI Sheria za vita, zinazojulikana kama International Humanitarian Law (IHL), ni kanuni zinazodhibiti mwenendo wa vita na migogoro ya silaha ili kulinda raia na wahanga wa vita. Sheria hizi zinajumuisha Mikataba ya Geneva ya 1949, Itifaki zake za Ziada, na maazimio ya Umoja wa Mataifa...
  3. Pascal Mayalla

    Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

    Wanabodi, Utambulisho Japo sisi wanabodi wa jf, tunaitana wanabodi, na kutambuana kwa majina yetu ya ki jf jf, sio mbaya kunapotokea hoja ya msingi kwa mustakabali mwema ya nchi yetu, watu tukajitambulisha tena humu who we real are, hivyo mimi mwana JF mwenzenu, Pascal Mayalla, (Pasco wa JF)...
Back
Top Bottom