Nina uhakika kinachoendelea dhidi ya Katoliki si mzaha wala burudani, bali ni dharau, dhihaka na kejeli ya wazi dhidi ya Katoliki na Imani ya Kikristo kwa ujumla. Hii ni hatua hatari sana kwa Taifa.
Mzaha wa aina hii hauwezi hata kufikiriwa kufanywa na vijana wa Kikristo dhidi ya taasisi za...