Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana...
Kwasababu hakuna updates tena kama ilivyoarifiwa mapema na wahamasishaji wakati inaanza, kwamba walau kila baada ya wiki moja kutatolewa mrejesho wa maendeleo ya uchangiaji unavyokwenda.
Wadau wangependa kufahamu,
tangu itangazwe kupatikana milion64, na kuibuka changamoto ya eti fedha zilikua...
Nimewahi kugombea mara moja tu ila kila nikifiria kurudi tena jimboni narudinyuma, kwani sina uwezo kifedha.
Simulizi ya Fatma Shaaban Mohamed (51), mkaazi wa Kiuyu Minungwini Wilaya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, inatuonesha ukata wa fedha unavyomkatisha tamaa kuingia tena jimboni katika...
Nimeona machapisho mengi kuhusu ndoa zisizofanikiwa. Kuna sababu nyingi zinazochangia ndoa kufeli ambazo ni pamoja na kudanganywa, kukosa uaminifu kati yao, Ukata wa fedha. Lakini Wengine huamka tu asubuhi na kugundua kuwa wake zao/mme wake hana mvuto tena [walimlazimisha ]. Hizi ni baadhi tu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.