Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar
Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa tangu kuanzishwa kwake haijawahi kumpa nafasi ya uenyekiti mwanachama wake wa dini ya Kiislamu...
Zipo baadhi ya tabia ambazo Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alisema ni za kipumbavu ikiwemo Udini na Ukabila, Je kwanini tumeruhusu tena?
Lazima Tanzania turejelee upya kauli na maonyo ya Baba wa Taifa ili Tanzania ipone
Katika tabia ambazo Baba wa Taifa aliziita ni za kipumbavu...
Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja".
Kwanza dini zote zinamuabudu...
Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu mshikamano na kuvuruga maendeleo yetu ya pamoja.
Kwa nini tunapaswa kuviepuka:
✅ Udini unavunja...
Kama tutajiingiza katika mfumo wa serikali ya majimbo hapa Tanzania, ni muhimu kuzingatia athari za kisiasa na kijamii ambazo mfumo huu unaweza kuleta.
Mfumo huu unaruhusu kila jimbo kuwa na udhibiti katika utawala na sheria zake, na mara nyingi hii inachochea mgawanyo wa nguvu katika nchi...
Kuna makampuni unaweza kudhani yalianzishwa kijijini yamefungua branch mjini, wafanyakazi zaidi ya 50 % ni wa kabila moja.
na kupeana nafasi ni rahisi sana kwasababu hata protokali za ajira ni kampuni yenyewe inajisimamia
Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani...
Hofu imetanda kwa baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, (wajumbe) baada ya uwepo wa fununu za kuenguliwa kwa mtia nia wa nafasi ya udiwani katika Kata hiyo Bw. Emmanuel Musuya, aliyeongoza katika kura za maoni na...
Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.
Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo...
Kauli hii inaangazia hoja nyeti na muhimu sana kuhusu mwelekeo wa taifa katika kulinda umoja wa kitaifa na misingi ya katiba. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nchi haina dini rasmi, na inapinga ubaguzi wa aina yoyote, ikiwemo misingi ya udini au ukabila.
Kwa hivyo...
Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani .
Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo .
Nyerere...
Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea ukabila wa kisasa kwa kivuli cha burudani, Tiktok inachochea sana vijana kuona thamani katika makabila...
Leo nafatilia historia ya mtwala wa uganda ambayo kikosi chake kilikuwa kabira lake na alijaza watu wake.
Ilipofikia kupinduliwa na jeshi la Tanzania walipofika kijijini kwao wote walikimbia na walikuta kuna mbwa mmoja tu katelekezwa.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, amesema kuwa sababu kuu iliyosababisha kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ilikuwa ni kuhakikisha usalama na kudumisha amani ya kudumu kati ya mataifa hayo mawili.
Akizungumza mbele ya mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chemba...
Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti.
Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
Leo kuna mtu nimekuta anafurahi kufa kwa wa Congo kwa vita ila kukasirishwa na wapalestina kufa wakati wote ni vita ya udini na ukabila.
Hivi hawa waafrika wa vijiwe vya kahawa ndio waliaminishwa na nyerere wanapatikana usalama.
Salamu wakuu,
Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia yake, Dini yake, Uzanzibari wake, Utanganyika wake, Sura yake nk. Bali ubora wa Kiongozi unatokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.