ujumbe wa rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sifa za Uongozi: Ujumbe wa Rais Samia

    Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia kutumiza majukumu yako. -Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  3. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha ujumbe maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia

    Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia Dodoma, 23 Disemba,2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo ( Mb) akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Profesa...
Back
Top Bottom