ujenzi wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

    Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli sote twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi, mfano bwawa la Mwl. Nyerere, Reli ya Mwendokasi (SGR), barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi. Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na...
  2. S

    JamiiForums Mbunge wa Kinondoni, lini tunaanza kuona miradi ya ujenzi wa barabara za mitaani Kigogo?

    Mara ya mwisho kukuona ilikuwa kwenye kampeni, sababu kubwa ya uzi huu ni kutaka kujua sisi wakazi wa Kigogo lini tutaanza kuona miradi ya barabara za mitaani maana mitaa mingi jijini Dar ujenzi wa barabara za mitaani zinaendelea tena huku zikinakishiwa na mataa pembezoni, wote tumo ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…