ujasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni kwanini waliosomea Ujasusi ( Unjagu ) nchini Israeli 'wanaogopeka' sana kuliko waliosomea nchi zingine?

    Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka. Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka'...
  2. JamiiForums Tanzania Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

    TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…