uislamu na ukristu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheMaster

    Lissu na Samia, Maaskofu na Mashekhe

    Nimesoma kitabu cha CRASH OF CIVILIZATION AND REMARKING OF NEW ORDER cha mwandishi nguli Samwel P. Huntington juu ya namna gani watu wamekuwa na ustaarabu mpya wa kujuana na kutambuana aidha hata kuhishimiana kutokana na dini zao kuliko hata tamaduni zao. Mwandishi alianza kwa kunishtua mtima...
  2. E

    Baada ya Uislamu wanaofuata kwa kujiona wakamilifu ni Wasabato

    Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi. Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani. Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha...
  3. dr namugari

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa...
Back
Top Bottom