Watu wengi wakisikia “ukoloni” wanafikiria wazungu walifika Afrika na bunduki tu wakaanza kuteka maeneo kwa nguvu moja kwa moja. Ukweli ni kwamba sehemu nyingi ukoloni uliingia taratibu sana kupitia biashara, mikataba na ushawishi wa viongozi wa maeneo husika.
Wazungu walipofika walijenga...