Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, amesema uhuru wa kuzungumza upo, lakini muhimu ni kuzingatia maudhui ya kile kinachozungumzwa. "Uhuru wa kuzungumza upo, lakini unazungumza nini?" alihoji.
Soma Pia: Katambi: Jeshi la...