Leo ulikuwa unazungumzia na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Je mchakato wa kufikia hapo umeufanya?
Kuna mapungufdu mkubwa katika mchakato mzima wa kupiga kura .
Vigezo hivi sidhani kama hapa vinatimizwa inavyotakiwa.
VIGEZO VYA UCHAGUZI HURU NA HAKI
1. Voter...
Feedback kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, ''Asanteni watanzania kwa kumchangia Mchungaji Saniel Sosoa ambaye amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya 5M kwa kudaiwa kuikashifu serikali ya CCM (cyber bullying and false information). Kwa umoja wetu tumeweza kumchangia...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki
sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa...
Ni kwasababu hawajui wanachotaka, hawamjui aduai yao au hawaelewi namna bora ya kudai mabadiliko wanayohitaji na badala yake wanajikita kwenye uharibifu wa samani za umma ambazo baadae zitakarabatiwa kwa kodi zao wenyewe?
Wasipojitahimini kwa kina na kutumia hekima na busara kuwasilisha na...
Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October.
kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
Huu ndiyo ukweli mchungu wa watawala,yaani CCM wanajua kabisa wakikubari matakwa ya Chadema wamekwisha,maana yake kuanzia mawaziri ambao wametokana na ubunge mpaka wabunge wenyewe kwa asilimia kubwa hawatarudi bungeni
Yaani kuwepo na tume huru,Uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki bila polisi...
Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,
Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda...
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana.
Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
Kuwaza, kupanga, kuamua na kutenda jambo lolote lile hususani kisiasa lenye kudhuru, kuumiza au kukuathiri wewe mwenyewe na pengine jamii Fulani, ni miongoni mwa dalili za mwanzo sana za dosari au kasoro katika uongozi wa taasisi za kisiasa au afya ya akili hususani kwenye siasa.
Kwa mfano hapa...
Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote.
Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025.
Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania.
Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha...
Ikumbukwe majuzi tu CHADEMA wamefanya maandamano ya amani, zaidi ya mikoa 10 nchini. Na wakaenda kupeleka petitions zao maeneo malimbali ikiwa ni pamoja na UN-Tanzania, na wala hapakua na Tatizo lolote. Walipewa full security na polisi Tanzania..
Sasa what went wrong kwenye haya maandamano ya...
Askofu Bagonza
"Jumapili ya 1 September mosi 2024, mmoja wa watekaji wa 4R alijitokeza hadharani na kutoa siri kuwa alihusika katika kuvuruga Nchi na kufanya uhaini wa serikali dhidi ya wananchi, ni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido anayeitwa Marko Henry Ng'umbi, Rais ametengua uteuzi wake...
Wakili Msomi Tundu Antipas Lisu amesema Uchaguzi wa TLS ulikuwa Huru na Haki kama ilivyo kawaida yao miaka yote.
Lisu amesema Jukumu Kuu la TLS ni kusimamia Utawala wa Sheria nchini na kuwawakilisha Wananchi Mahakamani.
Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?