uhuru kukosoa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Trump kaifikisha Marekani pabaya sana. Mwanamke huyu avamiwa na Wanajeshi wa ICE mchana kweupe

    Wakuu, Yaani hata huko Marekani napo hakuna uhuru kama tunaoufikiria. Hili tukio halina tofauti sana na lile la Askari wa Tanzania kumvamia yule jamaa mbele ya mahakama na kuanza kumpiga virungu Hivi unasukumaje mwanamke kiasi hiki?
  2. Allen Kilewella

    Chura kiziwi naye hutuoa sauti kama chura wengine tu

    Kwenye siasa wanasiasa huibua misemo ambayo mingine huja kuwa sehemu ya Lugha husika. Mchungaji Christopher Mtikila alileta misemo ya "Gabacholi" na "mlalahoi" na la mlalahoi linatumika mpaka Sasa. Mwalimu Julius Nyerere alileta kwenye lugha ya kiswahili msemo wa "kung'atuka" na "tapeli" na...
  3. L

    Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..

    Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
Back
Top Bottom