uhalifu dhidi ya binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tucker carlson

    UN yapitisha azimio la kutambua utumwa wa Waafrika kama uhalifu dhidi ya binadamu. Israel, Marekani na Argentina zapinga

    Wakuu, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotambua biashara ya utumwa wa Waafrika kama uhalifu dhidi ya ubinadamu, hatua iliyopigiwa kura 123 za kuunga mkono. Katika kura hiyo, nchi tatu, Argentina, Israel na Marekani zilipinga, huku nchi 52 zikijizuia kupiga kura. Soma pia...
  2. R

    Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh anakabiliwa na kesi ya Uhalifu dhidi ya binadamu

    Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh, Sheikh Hasina aliyepinduliwa na maandamano makubwa yaliyofanyika 2024, amesema anatumai marufuku dhidi ya chama chake itaondolewa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2026. Akiwa nchini India ambako alikimbilia Agosti 2024, Hasina alitoa kauli hiyo huku mahakama...
  3. Richard

    Serikali ya Tanzania haitakwepa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu au "Crimes Against Humanity" yanofanywa na vyombo vyake vya usalama na washirika

    Nikiwa ni mtanzania na raia mwema kwa nchi yangu nimejikuta nikiingiwa hofu kuu juu ya mstakabali wa maisha ya raia wa nchi hii. Hata wale raia wa kigeni nao kwa kusikia taarifa hizi kupitia mitandao ya kijamii bado waendelea kushangaa kwa jinsi mambo yanavyokwenda kama hakuna kinoendelea. Na...
Back
Top Bottom