uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

    Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia. Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku...
  2. JamiiForums Tanzania TMA siku zingine kama hamna uhakika na Hali ya Hewa bora mnyamaze tu kwani mmenichania Mkeka wangu

    Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu. TMA...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

    Ifuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania. Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

    Kama upo Dar maeneo ya Kariakoo, Mjini posta, Msasani, Peninsular, Upanga, Kinondoni ya Morocco, Mikocheni, Masaki, O'bey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k Fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa...
  5. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

    Habari wana JF, Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako... Pia soma: Do you feel LOVED?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…