uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Kwa manufaa ya umma, kwa nini Tundu Lissu asiachiwe kama watuhumiwa wengine wa uhaini walioachiwa?

    Watuhumiwa wengine wa uhaini waliachiwa kwa manufaaa ya umma. Why not Lissu amabae hata kesi yake haina muelekeo?👇
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Hakuna uhaini wa mtu mmoja, labda kama ulimlenga risasi rais

    Tafakari kesi ya Lisu inavyoendelea......................................... Anyway kesi ikiwa mahakamani wanasema tusiijadili....
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ya uhaini kuendelea leo, Agosti 10, 2026

    Shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, linatarajiwa kuendelea kusikilizwa leo, Jumatatu, tarehe 10 Agosti 2026, kuanzia saa 3:00 asubuhi. Kesi hiyo inasikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam, na imepangwa kuendelea kusikilizwa mfululizo...
  4. JamiiForums Tanzania Mnyika aomba DPP afute mashtaka ya uhaini dhidi ya Tundu kama alivyomfutia Mbowe

    Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa. Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
  5. JamiiForums Tanzania Zama za mizaha ya Uhaini, Ugaidi na Uchochezi zifike mwisho!

    Katika injili ya Luka 14:28-30, twasoma; "Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, wakisema, Mtu huyu alianza kujenga...
  6. JamiiForums Tanzania Tunatamani kupigania katiba mpya; Tatizo tunaogopa kesi za uhaini, ugaidi na uchochezi!

    Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote. Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
  7. JamiiForums Tanzania Ongezeko la wimbi ya kesi za Uhaini na Ugaidi nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la wimbi la ufunguaji wa kesi nyingi sana za Uhaini na Ugaidi hivi sasa nchini katika utawala huu uliopo, kuna kila sababu ya kuwa na mashaka makubwa juu ya intelijensia ya Jeshi la Polisi. Huenda polisi wana weledi unaotia shaka kwa kuzichukulia kwa wepesi mno...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya Tanganyika ina washauri wa kisheria? Kesi ya Tundu Lissu ilipata kufutwa maanda uhaini sio kosa la wizi wa kuku

    Ukisoma ibara zote za Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kosa pekee la uhaini ambalo limetatwa kwenye katiba ni uhaini. Kwa mujibu ya ibara ya 28 (4) uhaini ndio kosa kubwa kuliko yote hapa nchini. Maana yake kama mtu ni mhaini lazima uwe na ushahidi uliokamilika kama kweli uhaini...
  9. JamiiForums Tanzania Kitendo cha chama kuongozwa na mtu ambaye yupo gerezani kwa makosa ya uhaini ni dhahiri kwamba ubongo wa Mwafrika bado upo analogy

    Miaka ya 70's huko viongozi wa Africa walikuwa wakishashinda uchaguzi wanahamia Ulaya kula Bata huku wakiacha nchi zao zikiongozwa na vivuri vyao tu, Ni kitendo cha aibu kiongozi mhaini kuendelea kuwa madarakani ili hali yupo gerezani tena KWA makosa ya uhaini hii ni ishara kuwa Mwafrika bado...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA kutolewa maamuzi na Mahakama Mei 28, 2026

    Wakili wa CHADEMA, Rugemeleza Nshala, amesema; "Kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA kuamuliwa Mei 28, 2026 tulikuwa tunaomba irudishwe mahakama... kutoka mahakama ya rufani irudishwe mahakama kuu, inatolewa uamuzi wake tarehe 28 ya mwezi huu wa tano, inatolewa maamuzi yake siku hiyo tarehe 28, basi...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Obama akamatwa na CIA ,baada ya Trump kutoa agizo akamatwe kwa kosa la uhaini

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa na baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa aliyekuwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama, amekamatwa baada ya Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump, kutoa amri hiyo kufuatia kile kinachoendelea Mashariki ya Kati. Katika chapisho hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Heche: Nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakubambikie kesi ya uhaini. Nataka nimwambie Samia, nipo tayari sitakimbia

    Ukisikiliza hii hotuba ya mh. Heche utagundua taifa hili tuna rasilimali ya watu wema sana na tunatakiwa kuwatumia kama taifa kwa manufaa yetu sote na Heche kwangu amethibitisha hilo baada ya Tundu Lisdu Msikilize https://youtu.be/0vuyOE2_9GA
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Kuna mpango wa kumkamata Heche na kumfungulia kesi ya uhaini

    Kutoka akaunti yake ya X. DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄 Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho! Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe...
  14. JamiiForums Tanzania Mungu atakuwa wa ajabu kupokea sala ya ambaye anamuweka mtu jela akidai muhaini na huku hana kosa

    Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini. Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume...
  15. JamiiForums Tanzania DPP awafutia shitaka la uhaini vijana saba Wilayani Magu

    Mahakama ya Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza, Machi 6, 2026 imewaachia huru watuhumiwa saba waliokuwa wakikabiliwa na shitaka la uchomaji Moto, Shauri la Jinai Namba 2037 la Mwaka 2026 baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo pasi kuacha shaka. Taarifa ya LHRC imeeleza kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Februari 20: Kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu inaendelea leo. Shahidi wa kificho (P9) anatoa ushahidi

    Wakuu, Kesi ya Lissu inaendelea leo Kaa karibu na uzi huu kupata updates ya kinachoendelea Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri...
  17. JamiiForums Tanzania Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

    Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo. Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu. Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiwa uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho

    Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiw uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho.
  19. JamiiForums Tanzania Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote

    Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote . Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…