ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, unaelewa nini kuhusu Ugaidi unaofanywa na mamlaka za Serikali (state sanctioned terror)?

    Habari za sikukuu? Natambua kwamba kwa watanzania wengi hii ni siku kama siku nyingine na kwamba maisha yanaendelea kama kawaida. Natambua pia kwamba kuna ambao wako katika huzuni na pia wapo ambao wako katika furaha. Hayo ndio maisha na inabidi tukubaliane na hali halisi kabla ya kuanza...
  2. Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

    Hapo nyuma kidogo niliwahi kuuliza, je yawezekana wakuu wa vyombo mbali mbali nchini walijua kilichokuwa kinaendelea kuhusu hatma ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Je yawezekana waratibu na watekelezaji walikuwa na uhakika Mh. Tundu Lissu hangeendelea kuwa hai saa 24 baada ya kumiminiwa idadi kubwa...
  3. Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    Serikali ya Tanzania yasema haina ushahidi wa kutosha kuzitia hatiani shule za Feza zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa Uturuki anayetuhumiwa kujihusisha na jaribio la kupindua Serikali ya Uturuki. Serikali ya Uturuki inadai wamiliki wa shule hizo na baadhi ya wafanyabiashara wanafadhili ugaidi...
  4. Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. Amewataka viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…