ufugaji

  1. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

    Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual, basi hivi ndivyo unaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa unaweza jifunza karibia kila kitu kuhusu Ufugaji wa Kuku ndani ya Fuga App!!

    Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika! JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida. Ni rahisi kusoma, kuelewa, na kutumia kila...
  3. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa-fursa inayoibuka kwa kasi

    Kwa sasa, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ni moja ya miradi inayoshika kasi zaidi Tanzania. Kila siku tubapokea simu kutoka kwa watu binafsi, taasisi, makanisa, wastaafu na vijana wanaotaka kuanza — na hii si bahati nasibu, ni mwelekeo mpya wa kiuchumi unaojenga ajira na uhakika wa kipato. 💡 Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  5. JamiiForums Tanzania Unajuaje unapata Faida au Hasara kwenye Ufugaji wa Kuku?

    💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku Huna haja ya daftari tena Fuga inakusaidia kujua faida au hasara mapema zaidi ili uweze kuboresha ufugaji wako...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu Kiurahisi Kama Unatengeneza Hasara au Faida kwenye Ufugaji wako wa Kuku kupitia Fuga App 📱

    Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉 Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi pakuboresha shamabani kwako Cha kufanya Rekodi Matumizi yako na Mauzo yako alafu acha Fuga App ipige hesabu...
  7. JamiiForums Tanzania Singida: Nilitegemea kuona Viwanda vya Ufugaji kuku

    Habari Tanzania ! Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima? Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ? Karibuni
  8. JamiiForums Tanzania Ukishawishika ukaingia kwenye kilimo na ufugaji utatajirika, ukiweza kuwashawishi wengine waingie utatajirika zaidi

    Sio siri kwamba kilimo na Ufugaji unalipa, tena sana. Ila unalipa sana kwa watu wenye mitaji mikubwa na uzoefu, so kila kitu kinahitaji discipline na uthubutu. Ila ikiona mfugaji au mkulima anapromote sana kitega uchumi chake ni kwa sababu anataka kupata pesa zaidi na hamna njia nzuri ya kupata...
  9. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku unakua bora zaidi ukianza wiki yako na Fuga App

    Anza Wiki Yako kwa Mafanikio,Tumia Fuga App kupunguza stress kwa kufuga kwa Uhakika,Punguza gharama kwa kuwapa Chakula kulingana na idadi na aina ya kuku, Kumbushwa Chanjo za Kila wiki,Fahamu gharama za kufuga kuku aina yoyote. Pakua Fuga App Leo Bure kabsa Playstore...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TADB yanufaisha Vijana Mwanza kwa fursa ya ufugaji wa kisasa wa samaki kwa vizimba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufugaji wa kuku ni changamoto sana.Yote haya tunayapata kwa sababu serikali haijali madawa mengi ni feki!

    Wakuu mimi ni mfugaji na nina uzoefu sana katika ufugaji japo nakili wazi bado huwa najifunza kwa wenzangu tena kwa bidii sana. Nilichanja kuku wangu chanjo ya kideri (Newcastle)27/07/2025 na hapo nyuma nilikuwa nimechanja Ndui kama mjuavyo ndui huwa tuna chanja kwa mwaka mara1 tu au miezi 10...
  12. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ufugaji kibiashara kwa vitendo

    Unataka kufuga kwa faida kubwa lakini changamoto zimekuwa nyingi? 👉🏾 Chakula cha mifugo ni gharama, magonjwa yamekuwa kikwazo, au hujui ujenzi sahihi wa banda/bwawa? Sasa ni muda wa kubadilisha hali hiyo! Rubaba Media inakuletea Mafunzo ya Vitendo kwa Wafugaji, yakikupa maarifa ya moja kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wataalaamu wa ufugaji, Banda hili linaweza kuleta tija kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara?

    Kwa kuanza na kuku kumi wa kienyeji Banda hili linaweza kuleta tija kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji?
  14. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa nguruwe unalipa: Huu ndio muda sahihi wa kuanza! 🐖💰

    Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime, Nyamongo, na vitongoji vyake. Tulikutana na wafugaji wapya na waliopo tayari waliodhamiria kwa dhati...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji samaki

    Je kuna faida na hasara gani ya metabolized energy ikiwa kubwa au ndogo kwenye chakula cha samaki sato
  16. JamiiForums Tanzania Katika ufugaji usije kufuga sungura,kanga,bata na kondoo.Sababu wateja wake ni wachache

    Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana. Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki. Embu tujuzane kwa nini
  17. JamiiForums Tanzania Mradi wa ufugaji sungura, naombeni ushauri juu ya mchakato mzima wa ufugaji na masoko

    Salaam, Kama kichwa kinavyojipambanua, naombeni usaidizi wa mawazo juu ya ufugaji sungura ( kwa size ya kati, sio mdogo wala mkubwa sana) na zaidi nisaidieni ni wapi naweza Pata soko la uhakika la sungura. Wengi watauliza mahala nilipo, matharan mkoa ila wadau naomba mawazo ya jumla ambayo...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku

    Natafta kuku kienyeji mwenye kuwa nao tuongee
  19. JamiiForums Tanzania App hii inakusaida kuongezea Faida na Kuboresha Ufugaji Wako Bila Stress !!

    Kama ushawahi kujiuliza kwamba kuku mmoja anakula kiasi gani akiwa na umri gani,basi Fuga app itakupa majibu yote kuhusu ratiba ya chakula,kila siku . Hautopoteza tena chakula wala kuwapunja tena kuku wako Download Fuga app playstore [ Fuga - Apps on Google Play]
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    1. Askofu Josephat Gwajima- Kawe 2. Luhaga Mpina- Kisesa 3. Mrisho Gambo- Arusha Mjini 4. Prof. Ndakidemi- Moshi Vijijini 5. Dr Charles Kimei - Vunjo 6. Mwita waitara - Tarime Vijijini 7. Priscus Tarimo - Moshi Mjini 8. Godwin Mollel - Siha 9. January Makamba - Bumbuli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…