Wakuu,
Huko Ufilipino mambo yameanza kuwa sukari kama ambavyo wiki kadhaa nyuma ilivyokuwa huko Nepal
Maelfu ya waandamanaji wameingia mtaani wakidai kwamba kuna mabilioni ya dola ya kodi za wananchi yamepotea kupitia miradi feki ambayo Serikali ilianzisha ili kudhibiti maafuriko...
Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za...
Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS 3.8 bilioni (takriban USD 1.6 milioni). Skendo hii imesababisha wasiwasi kuhusu usalama na uadilifu...
Naomba tutafakari nani genius kati ya hawa;
Mh. Mpina vs Mh. Bashe
Au kati ya;
Mh. Tulia vs Mh. Mpina.
Uwanja upo wazi. Pesa mbaya!
====
Pia soma:
Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili
Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.