uenezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Amos Makala anaondolewa kwenye uenezi wa CCM baada ya kumaliza kazi aliyopewa ya kuijenga kivuli cha CHAUMMA

    Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini. Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema ndiye aliyeisimamia. Kwa ufupi sana baada ya kumaliza kazi amerudishwa alipotolewa. Kwa uhakika...
  2. Kisiasa nini Maana halisi ya Kihongosi kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM na Makalla kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa?

    Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
  3. Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

    Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi. Kazi ipo.
  4. Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT, Shangwe Ayo achukua fomu ya ubunge wa Arumeru Mashariki

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Arumeru Mashariki. Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.
  5. R

    Brenda Rupia - Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Chadema weka mawasilian yako wazi ili wenye nia njema wakupe ushauri then uupeleke kwa wahusika

    Kwa mfano, taarifa hii/ushauri huu ni madini makubwa sana. https://www.jamiiforums.com/threads/pamoja-na-kuruhusiwa-watu-kwenda-kusikiliza-kesi-ya-lisu-chadema-kuna-mtego-wametegewa-ngoja-niwasanue-sasa.2336593/page-2#post-53689188 Kama Mulilo anaweza kusema tarehe 24 polisi hawakumkamata...
  6. W

    CCM mrudisheni Makonda kwenye uenezi, twanga pepeta ana pwaya

    Kwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu Uzuri wa Makonda ni proactive Ushauri wangu ni huo Makonda na Polepole warudi kundini harak sana
  7. Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  8. PreGE2025 LGE2024 Katibu wa Uenezi CCM Zanzibar: Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa (GNU) inaenda kufa 2025. Naumia ila sina jinsi!

    Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
  9. LGE2024 Zangina, Katibu Uenezi CCM Mkoa wa Morogoro Alipokuwa Ifakara Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina alipokuwa akitimiza majukumu yake ya kuhamasisha wananchi wa Ifakara na...
  10. Tundu Lissu alikuwepo, alifanya mikutano, ila hakuwa anavuma kama sasa, CCM ilifanya makosa kumtoa Makonda kwenye uenezi!

    Siasa ni kama biashara, huwezi kupeleka viatu kwa wamasai ukashindane na wanaouza ndala za mataili, itakuwa ni ujinga Vile vile huwezi kupeleka sembe mahali ambako watu wanamahindi yao na huyatumia kula dona, itakuwa wendawazimu wa kiabiashara Wananchi wengi wanamkubali Makonda, maana ndiyo...
  11. B

    Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

    Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa. Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza. Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile kwa miongo kadhaa. Baada ya Nape Nauye na sera yake ya kujivua gamba ambayo kiasi fulani ilileta...
  12. B

    Kama Kazi ya Uenezi imemshinda Paul Christian Makonda nani ataiweza?

    Wazungu wanasema the Bone that Failed the Heyna, who can? Kazi ya Uenezi ndani ya ccm aliyeiweza kwa ufasaha alikuwa Abdulrahman Kinana miaka ya 2010. Tangu hapo Chama cha Mapinzudi hakijawahi kupata mtu sahihi, hata walipojaribu kuteua watu wenye dosali ktk jamii bado napo imekuwa ngumu...
  13. J

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  14. S

    Namuona Amos Makalla akichua mikoba ya Makonda na John Mongela akichukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Anamringi Macha!

    Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha! Pia aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela kuna kila dalili ya kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa...
  15. G

    Kazi ya uenezi hakuna mtu anayeiweza kwa CCM ya sasa

    Wananchi walipaswa kushawishiwa na CCM kwa kasi ya maendeleo. Na hivyo ccm ingreendelea kushamiri na kupendwa na wananchi. Lkn naona ccm wanahangaika kutafuta MTU sahihi wa kuwashawishi wananchi kuipenda ccm as if hiki ni chama kipya kilichosajiliwa juzi. Kumbe ni chama kilichozeeka na...
  16. G

    Lile kundi lililokuwa linafurahia uteuzi na utendaji wa Makonda ktk nafasi ya uenezi, linasemaje baada ya utenguzi?

    Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao. Nataka kupata majibu ktk maswali haya. 1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa? 2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi...
  17. G

    Ushauri: January Makamba apewe nafasi ya uenezi wa CCM

    This man is intelligent, smart and eloquent. Once mama appoints him to fill this post, she will rest a bit and see things moving.
  18. Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  19. G

    Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

    Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi. 1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza 2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa). 3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema...
  20. Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…