Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema inaendelea kutekeleza mikakati ya kupambana na tatizo la udumavu nchini kupitia Mpango kazi Jumuishi wa Lishe wa mwaka 2021/22 – 2025/26.
Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Nancy Hassan Nyalusi, Aprili 16, 2025 Bungeni jijini Dodoma, Naibu...