udiwani na ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Zoezi la kuchukua fomu Udiwani na ubunge laanza rasmi Mbarali

    Zoezi la uchukuaji wa fomu nafasi za Ubunge na Udiwani, limeanza leo rasmi kwa baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya, huku uteuzi wa wagombea Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chaumma ukisubiriwa kwa hamu kujua watakaoteuliwa rasmi kugombea nafasi...
  2. Knock life

    Huyu nae inasemekana alikuwa anataka ubunge , akakatwa juu kwa juu

    Kwahiyo huyu na yeye alikuwa anataka kuingia Bungeni ?.
  3. kavulata

    GE2025 Nini kimesababisha CCM kujitokeza watia nia wengi nafasi za udiwani na ubunge?

    Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025. Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya...
  4. Street Hustler

    Kama watia Nia UDIWANI na UBUNGE wanajadiliwa na KAMATI KUU TAIFA, Je watia Nia URAISI watajadiliwa na kamati gani?

    Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini? Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea. Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
  5. M

    Majina ya watia nia yanaweza kukatwa kwa kutuhumiwa Rushwa ndani ya CCM mkoani Simiyu

    Watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Simiyu huenda wakakosa kurejeshewa majina yao kwenye mchakato wa kuteuliwa, kufuatia tuhuma za matumizi ya fedha kwa ajili ya kushawishi wajumbe na kufanya mikutano isiyo rasmi na madalali wa kisiasa. Taarifa...
  6. Puna

    Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

    Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Sophia Masimba awataka wanaotaka Udiwani na Ubunge Handeni kuacha kuchafuana

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wilaya ya Handeni Sophia Masimba amewataka makada wanaotarajia kugombea nafasi ya udiwani na ubunge na waliopo madarakani wilayani humo kuacha tabia ya kuchafuana kwa maneno kwa wajumbe ili kupata nafasi ya kugombea. Kupata matukio na taarifa...
  8. W

    PreGE2025 CCM Ruvuma yahimiza demokrasia kwenye nafasi za wagombea udiwani na ubunge

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani. Lengo ni kuwarudisha madarakani wagombea wanaopendwa na wananchi, lakini kwa kufuata miongozo ya...
  9. M

    PreGE2025 CHADEMA ielekeze nguvu kwenye Udiwani na Ubunge, Urais bado

    Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi ya siasa na masuala ya kiuchaguzi siioni nafasi yao katika kushinda Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  10. Just Pray

    PreGE2025 UVCCM Lindi: Vijana acheni kuwa madalali wa wagombea, wanaofanya kampeni kampeni kabla ya muda kukiona

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani. Akizungumza na KITENGE TV Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo mkoa wa Lindi, Patrick Magarinja alisema kuwa...
  11. Mmawia

    Ubunge viti maalum, ubunge wa kuteuliwa na udiwani ni mzigo kwa Serikali

    Kuna umuhimu gani wa kuwa na wabunge wa kuteuliwa? Hii tabia ni muendelezo wa kulipana fadhila tu kwa chama tawala ccm. Mwache mtu agombee apite kwa kupigiwa kura na wananchi kama anakubalika basi atakuwa mbunge wetu. Kwanini umteue kiongozi wakati viongozi wote wanapatikana kutoka kwa wapiga...
Back
Top Bottom