udhalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

    Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Zaburi 35:11 12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa. Zaburi 35:12 13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea...
  2. Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

    Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person. Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
  3. Mnampigiaje kampeni humu mgombea ilhali mmefungia JF?

    JamiiForums ipo kwa ajili ya mambo mbalimbali, nje ya yote inawaunua vijana kufanya biashara zao humu na kupunguza ugumu wa maisha. Lakini wote mashahidi september 06 mwaka huu JF ilifungwa rasmi na kuacha usumbufu mkubwa kwa watumiaji hasa wafanyabiashara, Hoja yangu kwanini zile...
  4. Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Wanabodi Angalizo la uchangiaji Hili ni moja ya mabandiko yangu ya mada za kikubwa,na huwa yanapanda humu mida ya usiku mkubwa wakati watoto wameisha lala! Hakuna jina la mtu yeyote, limetajwa kwenye bandiko hili. Hivyo naomba sana wachangiaji changieni kikubwa, tusilete utoto humu wa kutaja...
  5. Damu Haina Expiry: Gharama ya Uhalifu wa Kisiasa na Udhalimu wa Kifisadi

    Hivi kweli mnadhani kuhalalisha kumwaga damu za wasio na hatia kwa minajili ya political survival na phantom legitimacy ni ujasiri? Je, mioyo yenu haikuiwasha shame mnapobadilisha utu kuwa mere collateral damage? This is state-orchestrated savagery disguised as governance! Kumbukeni, history...
  6. M

    Je, Rais Mstaafu Kikwete anaridhika kabisa na unyama, ushenzi na udhalimu wa utekaji watu unaoendelea nchini?

    Kuwa rais mstaafu kuna dhima kubwa. Haitoshi tu kuwa mualikwa kwenye shughuli na kukaa high tables za mialiko mbalimbali basi hiyo ikawa sababu ya roho yako kuwa kwatu. La hasha kuna dhima ya kuhakikisha nchi hii inakuwa ya haki zaidi kila siku, inayostawi zaidi kila siku. Kwa kweli mimi kila...
  7. Uchaguzi Serikali za Mitaa, Tunawapongeze Viongozi wa Dini Wanaokemea Udhalimu.

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  8. CHADEMA msigeuke kuwa Maalim Seif wa Tanganyika, CCM na Serikali yake haitoacha udhalimu. Simamieni misingi yenu

    Tunatakiwa kujiuliza kwanini nchi inapotaka kufanya maandamano ya amani na ku express hisia za wananchi, CCM huwa inahaha kuhakikisha hilo jambo halitokei, kuna nini? Shida ni nini? Je ni mkate wenye siagi nyingi utapotea? CCM na serikali yake inalazimisha umma kuamini nchi inaamani, uhalisia...
  9. PreGE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
  10. Udhalimu kwenye huduma za Afya, watoa huduma wengi Matapeli // Sakata la Mwakinyo

    Nina mada mbili leo acha niziseme tu maana binafsi zinanikwaza sana na kunifanya nione dunia imejaa maadui na watu wabaya. Tumekuwa na kawaida ya kutoa lawama na kashfa kwa serikali, lakini Watanzania naomba tukumbuke kuwa waliokaa kwenye uwongozi ni sisi hao hao Watanzania Tamaa ya fedha...
  11. SoC03 Kijiji kilichogubikwa na janga la udhalimu na rushwa

    Katika kijiji kiitwacho Utawala Bora, watu walikuwa wakiishi katika hali iliojawa na machafuko, utata, na kutoridhika. Rushwa ilitawala, hali ya kutokuwa na usawa ilikithiri na sauti za watu hazikusikika (wananchi). Hatahivyo, katikati ya machafuko hayo, mwangaza wa matumaini ulijitokeza...
  12. 0

    Fumbo la kuku

    Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!! Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..! Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
  13. Udhalimu wa viongozi ndio Ajira ya Wanaharakati

    Viongozi na watawala wakijitahidi kufanya haki, uadilifu na usawa, wanaharakati watakosa kazi ya kufanya. Wanaharakati ajira yao kubwa inayowakalisha mjini ni udhalimu unaofanywa na viongozi au watawala. Ukiona hali ya hewa ipo kimya na wanaharakati hawana cha kusema, basi ujue viongozi...
  14. Kama Lissu angekuwepo huu udhalimu dhidi ya Mbowe usingetendeka

    Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka. Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka. Kwani watu walioacha kazi jeshi la wananchi yaani JWTz kuomba kazi ya kumlinda mtu ni kosa? Hii...
  15. Mitagato: Nilishikiliwa na Polisi siku 11 bila kufunguliwa mashitaka, nikasafirishwa hadi Dar

    MITAGATO AMTUMIA WARAKA ASKOFU, AELEZA JINSI ALIVYOSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA SIKU 11 PASIPO KUFUNGULIWA MASHTAKA MAHAKAMANI Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Nashukuru kushiriki kunipazia sauti uliposikia kuwa nilikuwa nimechukuliwa na Jeshi la Polisi. Mimi ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya...
  16. B

    Napingana na hoja ya wapinzani kuonana na Rais, inafifisha mapambano dhidi ya udhalimu

    Wapinzani kukutana na Rais nikubariki adhabu inayotolewa na watawala dhidi wa wananchi. Naaamini wapinzani wanapofanya siasa bila kuweka mashirikiano na utawala uliopo wanakuwa na nguvu kubwa yakuikosoa serikali na kuwasemea wananchi kuliko kwenda kupeana mikono kusiko kuwa na tija kwa Taifa...
  17. Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wanabodi, Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…