uchumi wa dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    Tanzania, Marekani na China zinatengeneza 44% ya uchumi wa dunia

  2. The Humble Dreamer

    Profesa Mkumbo: Uchumi wa Dunia unashuka, ila Uchumi wa Tanzania unapanda

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu. Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka...
  3. L

    Matokeo ya mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaleta utulivu kwa uchumi wa dunia

    Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
  4. J

    David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege. Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
  5. Y

    David Kafulila: Wanawake wataongeza Dola Trilioni 28 kwenye mzunguko wa Uchumi wa dunia ikiwa tu tutaamua kuwashirikisha kikamilifu

    Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa. Kafulila anasema ikiwa Taifa na Dunia tutaamua kuwashirikisha vema wanawake katika Ujenzi wa Uchumi wa Dunia au wa Taifa...
  6. L

    CIIE kuunga mkono Afrika kuungana zaidi na uchumi wa dunia

    Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa msamaha wa ushuru wa forodha bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi zilizo nyuma kimaendeleo, zikiwemo nchi 33 za...
  7. L

    IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  8. ward41

    Projections 2075: Bado USA itakuwa na uchumi mkubwa

    Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion USD GDP, China litakuwa taifa la pili na GDP Yao itakuwa 44 trillion USD GDP na projection zinasema...
Back
Top Bottom