uchawa wa kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Tesha

    GE2025 Shigongo: Hatuwezi kuwa Taifa ambalo mtu ambaye anaisema serikali anaonekana shujaa

    "Hatuwezi kuwa taifa la watu ambao mtu anayesema serikali vibaya anaonekana shujaa, vijana ni sikilizeni nyie ni Asilimia 75 ya watu wote katika nchi hii, nendeni kwenye mitandao mkatetee ukweli mazuri yaliyofanywa na serikali yetu," Eric Shigongo mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa akizungumza...
  2. W

    GE2025 Mna uhakika hawa wasanii wetu ni kioo cha jamii kweli?

    Hawa wasanii bwana, vituko haviishi! Badala ya kusimama kidete na kuwa sauti ya wananchi, wao wameamua kuendeleza uchawa na kujipendekeza bila aibu. Angalia sasa huyu Steve Nyerere, alivyojigeuza kuwa mwananenguaji – kweli fedheha tupu!
  3. mwehu ndama

    Video: Wanasimba wakataa uchawa wa kisiasa

    Mimi shabaki lialia wa Yanga sc ,nimefurahishwa sana na kitendo cha mashabiki wa makolo kukataa ukisabengo wa kisiasa katika mambo ya timu yao.. Mashabiki wa Simba sc hakika mtakumbukwa kwa msimamo wenu thabiti wa kukataa kutumika kama daraja la watawala kujipatia umaarufu kunuka kupitia...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rais Samia achangiwa zaidi ya Tsh. Billion 1.5 ili aweze kurejea tena madarakani

    Kwenye usiku wa Huba Huru Ghala Taasisi mbali mbali na Wafanyabiashara wameshiriki katika harambee maalum ya kumchangia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, kuongeza bguvu katika uchaguzi mkuu ili aweze kurejea tena madarakani kuliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano. Kupata matukio na...
  5. Mindyou

    Koplo mstaafu abubujikwa na furaha kukutana na Rais Samia. Ampa fimbo maalum Rais kwa ajili ya kuchapia wapinzani!

    Wakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima. Mzee huyo kutokana na mapenzi yake kwa Rais Samia, alimpa Samia fimbo ambayo kwa mujibu wake itamsaidia kuchapa wapinzani...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

    Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne...
  7. K

    Uchawa ni janga linaloitafuna nchi kimaadili

    UCHAWA NI JANGA LINALOITAFUNA NCHI KIMAADILI Sisi tuendelee na kukemea Uchawa kwanza. Mifumo ya nchi inavurugika kutokana na Uchawa. Mtu Akiwa chawa anakuwa ameukana Uzalendo wake kwa nchi. Tuutokomeze Uchawa ili watu waone fahari kujiita ndugu au Comrade. Tukifaulu hapa Watu watasoma Ilani...
  8. K

    Tuutokomeze uchawa kwa kutoa elimu iliyo sahihi kuhusu siasa

    ELIMU SAHIHI YA SIASA IKO NDANI YA VITABU HUSIKA TUUTOKOMEZE UCHAWA KWA KUTOA ELIMU ILIYO SAHIHI KUHUSU SIASA Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikiwa Usingizini nikiropokwa Kama vile nimevuta Bangi Tena kile kijiti Cha Arusha Meru milimani. Nikikemea Wasomi wasiokuwa na faida...
Back
Top Bottom