Wakuu naomba msaada.
Inakuwaje binadamu mzima akakubali ima kwa kutaka, kujituma, au kulazimika kuwa chawa?
Inakuwaje kiongozi mzima akakosa busara, falsafa na. hekima hata akaja na sera ya uchawa?
Je, wanaofanya yote haya wana akili timamu au kuna magonjwa yawe ya akili au tabia yanawasumbua...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo yanayoweza kukwamisha maendeleo na hata kuliangamiza taifa
Akizungumza leo Julai 21, 2026, ofisini kwake...
Ieleweke kifo cha UCHAWA kinaelekea kutokea sio kwasababu ya maendeleo ya kiteknolojia na matumizi makubwa ya AI (Akili Mnemba).
Kifo cha uchawa kinatokea kwasababu ya misingi ya uanzishaji wa hii ajira kabisa, tokea mwanzo ilitolewa kwa watu ambao:
Wako tayari kuwazunguka waTanzania wenzao...
Wakuu,
Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutenga zaidi ya bilioni nne kujenga shule mpya ya...
Kifungu cha hii imani tukufu:
2) Kila mtu astahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake....".
Chawa hawa ni wazalendo wa kuigwa kwa kuiendeleza imani hiyo na tunu za taifa letu.
Rais ni nembo yetu, urais ni TUNU yetu.Tunapoheshimiana utu wetu huku mitaani tuubague UTU na heshima ya...
Wakuu Habari ya Jumapili...
Niende moja kwa moja kwenye mada,miaka ya karibuni kumezuka mtindo mpya wa maisha ya kusifia watu Mbele ya camera na kupewa pesa,wenyewe machawa wanaita "kuokota".
Vijana wengi wamekua wakidhani hayo ni maisha halisi bila kujua scene nyingi ni maigizo,matangazo au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.