Kwanza kabisa nawapa pole wale wote walioathirika kwa namna Moja ama nyingine katika harakati ya kulikomboa Taifa letu, waliotutangulia wale pema, amen!
Wakuu kazi ya kuipamba serikali (uchawa) imefutika rasmi mnamo 29, octoba baada ya shughuli kubwa ya watanzania kuonesha nia ya kulikomboa...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Igawilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Msole Sanga amepongeza jitihada za Dkt. Tulia Ackson kwa namna alivyowasaidia wananchi wa kata hiyo pamoja na Jimbo jipya la Uyole kwa ujumla, licha ya kumpigia magoti akiomba ujenzi wa barabara za lami katika mtaa wa...
Wewe watu wanasifia kila kitu unachofanya na unaona wako sawa tu.
Ukiiba wanasifia
Ukikemea wizi wanasifia
Ukikemea uuaji wanasifia
MACHAWA sio watu, si mnawaona humu. Hao hao walifurahia kufungiwa kwa Jamiiforums ila bado wanatumia hii hii platform kupush harakati zao.
Machawa sio watu...
Ieleweke kifo cha UCHAWA kinaelekea kutokea sio kwasababu ya maendeleo ya kiteknolojia na matumizi makubwa ya AI (Akili Mnemba).
Kifo cha uchawa kinatokea kwasababu ya misingi ya uanzishaji wa hii ajira kabisa, tokea mwanzo ilitolewa kwa watu ambao:
Wako tayari kuwazunguka waTanzania wenzao...
Wazee wangu nawaona huruma hivi. Pesheni vipi? au ndio mmeshalambisha asali
================
Baraza la Wazee wa Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma, limetoa tamko rasmi likionesha uungwaji mkono wao kwa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao...
Askofu Gwajima: Chawa silaha yao ni kujipendekeza, mwenye uwezo anabebwa na uwezo wake
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Wakuu,
Baada ya madaftari ya mama kutrend na mitungi sasa ni muda sendo za mama.
Soma pia: Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu!
Haya mambo ya uchawa yamefikia kwenye kiwango cha ajabu sana
Wakuu,
Yaani huu mwaka huu hadi tuombe maji, hakuna kupumzika!
Ningepata nauli ningeenda Burkinafaso tu, hii nchi ukifuatilia mambo ya serikali unaeza kupata blood pressure.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka Maafisa Usafirishaji Dodoma maarufu kama...
Msanii wa Filamu na Mwanamitindo Maarufu Nchini Tanzania ametangaza ujio wa Tamasha la Rangi Zinaongea litakalo fanyika Tarehe 23/05/2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ikiwa ni pamoja na kuionesha nembo ya Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ambapo itakuwa ni pamoja na...
Wakuu,
Diwani wa Kata ya Msasani, Luca Neghest ambaye pia ni mmiliki wa Bongo 5 amesema, ameandaa safari maalum ya kufanya utalii wa ndani kwa kupanda treni ya SGR kwenda mkoani Morogoro.
Diwani huyo amesema, ziara hiyo ina lengo la kuona maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita...
Wakuu,
Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu.
Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa.
Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana.
Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu...
Ndani ya CCM kuna Chawa uchwara na kuna Chawa Pro Max
Chawa Promax ndio wale wanao kula nchi hawa wako kwenye Mashirika huko wanaompiga B zao huko, hawa ni wale wanao tajagwa kwenye report za CAG, hawa wanakula haswa hii nchi. Pia hawa Pro Max hata humu Jf hawapo huwezi wakuta na hawana muda wa...
Wakuu,
Hivi sheria zinasemaje kuhusu hizi plate number za kwenye magari?
Ni kwamba mimi naweza tu kuamka asubuhi nikaweka jina lolote as plate number au kuna muongozo ambao inabidi ufuatwe?
Vipi kwenye plate number nikaweka maneno yanayozua taharuki au nikaweka jina la mgombea Urais hasa...
Kwa wanaokumbuka matukio ya kisiasa nchini, watakubaliana nami kuwa hii tabia ya uchawa na kusifia kila kitu ilianzishwa na John Magufuli alipokuwa rais. Matokeo yake, Magufuli alikuwa katika mazingira ya kutatanisha. Alipenda kupigiwa magoti na kutukuzwa karibu na kuabudiwa.
Baada ya kifo...
Jamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia?
Mfano Dotto magari,Mwijaku na wengine wengi,yaani ukisikiliza wanachoongea hakina maana na wamekuwa wakipewa nafasi kubwa hata na Rais mwenyewe kama kuutambua uwepo wao kwenye matukio kama...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi, ameonya dhidi ya watu wanaodhani kuwa wana nguvu zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen Wasira, Kihongosi alisisitiza kuwa CCM ndicho chenye mamlaka katika mkoa huo.
"Asisimame mtu...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema vyama vya upinzani vimekosa msimamo kwa kubadilisha hoja zao mara kwa mara, kutoka kudai Katiba Mpya hadi kaulimbiu ya "No Reform, No Elections" (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi).
Kupata...
Wakuu,
Hivi wabunge wa CCM wanaposema Rais "ametoa" fedha wanamaanisha?
Kwamba zimetoka mfukoni kwake na sio kodi za wananchi? Au yeye ndo anaidhinisha kutolewa kwa hizo fedha? Na kama Rais ndo anapitisha fedha za maendeleo, kazi ya hao wabunge inakuwa ni nin sasa?
========================...
Wakuu
Msanii Profesa Jay amesema baadhi ya Watu wanaowashambulia Wasanii kama Ay na wengine kutokana na kupanda kwenye majukaa ya Vyama vya siasa, hawawatendei haki kwasababu Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia.
Kwenye mahojiano maalum na Mtangazaji Millard Ayo, Profesa Jay ameeleza yafuatayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.