uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu ni wa aina yake, si vijiweni, magari ya abiria wala vikundi vinajadili isipokuwa ni watu kupotea na kutekwa ndizo habari

    Huwenda uchaguzi wa mwaka huu ukawa wa aina yake na kuwa na hisyoria ya kipekee Nchi iko kimyaa utadhani tupo kwenye msiba wa kitaufa, mijadala mingi inayotawala mikusanyiko ni, makanisa kuzingirwa na polisi, utekaji, watu kupotea na matukio mengine mengine tu na siyo uchaguzi na kampeni...
  2. JamiiForums Tanzania Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Sumaye awaonya wanachama wa CCM Manyara wasibweteke Uchaguzi Mkuu

    Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu. Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 TAFEYOCO yataka wananchi watumie mitandao kwa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais, huku likikemea vikali watu wote wanaojihusisha na vitendo au kauli zenye viashiria vya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Shuhudia nyomi linalomsindikiza Zitto Kabwe kwenye mkutano wa kuzindua Kampeni za Uchaguzi Kigoma

    https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0 Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi unaendelea kwa amani kama ilivyotarajiwa

    Hii ni kwa ajili ya sera nzuri za CCM ikiongozwa na Dr. Samia. Isipokuwa kuna watu wana mipango mibaya ya kufanya vandalism. Wanataka kuleta fujo siku ya Oktoba 29. Wanadhani ikitokea rioting kama iliyofanyika Luanda, Angola siku za karibuni,basi hiyo ndiyo itakuwa Uhuru wa kisiasa wa kweli...
  8. JamiiForums Tanzania IDU watakao jumuia ya kimataifa kupuuza Uchaguzi wa Tanzania

    Samia sio mjinga kubuni tume feki ya maridhiano ndani ya siku 100. Hii ni Kwa sababu anajua kushinda uchaguzi ni kitu kimoja na kuongoza taifa lenye mshikamano ni kitu kingine. IDU ni muunganiko wa vyama vya Africa,ulaya na America,,kitendo Chao cha kusema jumuia ya kimataifa zipuuze uchaguzi...
  9. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Tanzania 2025 tunatiki kwa MISHANGAZI NA MIBABAZI? AU NI SINGLE MAZA NA SINGO DADY?🤣😆😀 awa waweza kuwa pandikizi kweli.

    Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera, Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio. Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady? Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Rais Samia, vyama vilivyoshiriki Uchaguzi ndo viingie kwenye maridhiano baada ya uchaguzi

    Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa. Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine. Mama husilidhiane na Chadema Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Japo kwenye uchaguzi ujao CCM inapambana na CCM B, itakuwaje kama Samia atabwagwa?

    Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
  12. JamiiForums Tanzania Chama tawala Malawi tunaogopa Njia hii wananchi wakiijua inaweza kuwafunua kupata mbinu ya kuzuia uchaguzi kirahisi

    Chama tawala malawi uwa wanaogopa Sana wananchi kuelimika wanaogopa mnoo! Viongozi walioko madarakani na waliostaafu nao pia waoga sana Chama chao kutoka madarakani Kwakuwa makaburi ni mengi Njia Tano muhimu za kuweza kuzuia uchaguzi 1. Maandamano siku ya Uchaguzi Hii isifanyike kama...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyojinadi kuleta mabadiliko ya Katiba baada ya uchaguzi kupitia Ilani

    Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo. Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wawajubiswe kama watashundwa kutekeleza zile ahadi walizotoa wakati wa kampeni

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
  15. JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  16. JamiiForums Tanzania Naunga mkono kukataa misaada ya uchaguzi kutoka nje

    Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao. https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El
  17. JamiiForums Tanzania Code: Kabla ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi kuna mibuyu mikubwa miwili itaanguka.

    Copy Code; Save the code.
  18. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

    1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi. 2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake. 3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania MTIHANI; BAADHI KIPUNGUNI A HAWAJALIPWA FIDIA YA ARDHI. UCHAGUZI HUU HAPA

    Hili la Kipunguni kutolipwa fidia ya ardhi zaidi ya miaka 20 linafikirisha sana. Wananchi wanalipwa kwa awamu na kimakundi kidogo kidogo sana.Kulikoni! Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki CCM ingepata shida sana Kipunguni. Hili serikali limalizeni.
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kinabo: Kuna dalili za uchaguzi kuwa na haki

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, leo Septemba 2, 2025, akiwa kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Saranga, amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura akibainisha kuwa dalili za uchaguzi huru na wa haki zinaonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…