Uchaguzi is a joint initiative spearheaded by Ushahidi in 2010 to monitor the Kenyan constitutional referendum. Ushahidi collaborated with the Hivos Foundation, the Constitution and Reform Education Consortium (CRECO), INFONET, and the Canadian International Development Agency (CIDA) to develop an ICT platform, which enables citizens, the civil society, election observers, law enforcement agencies and humanitarian response agencies to monitor election incidents of significance using any technology at their disposal.
The initiative has since successfully been implemented in the 2010 Tanzanian general elections, the 2011 Zambian general elections and in the 2013 Kenyan general elections.
Afrika ni ngumu sana kwa baadhi ya mataifa!
Mfano mataifa ya Afrika Mashariki yanatia aibu sana katika mchakato wa uchaguzi walau Kenya kuna misingi ya Haki na sio Tanzania wala Uganda na mataifa mengine ni kunaukandimizaji wa haki mkubwa sana katika kipindi cha uchaguzi!
Ukoloni mpya unazidi...
Kisa;
Hapo zamani za siku hizi, kulikuwa na wanawake wawili mmoja mwerevu na mwigine mpumbavu, walikuwa wanataka kuvuka mto, wote walikuwa wamebeba watoto mgongoni, mpumbavu alibeba mtoto wake lkn mwerevu alibeba jiwe kama mtoto, mwerevu kamwambia mpumbavu ili tuvuke huu mto lazima tuwatupe...
Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.
Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?
Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa...
Zikiwa zimebaki siku 5 mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu, App ya mawasiliano ya Bitchat imeshika nafasi ya 1 kwenye orodha ya apps za bure zilizopakuliwa zaidi nchini humo
Bitchat ni app inayojikita kwenye faragha na mawasiliano yasiyohitaji mtandao wa intaneti, ikitumia teknolojia ya Bluetooth...
Polisi nchini Uganda wamemkamata raia mmoja pamoja na wafanyakazi wawili wa Tume ya Uchaguzi kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya uchaguzi, ikiwemo fomu 862 zenye taarifa muhimu za wapiga kura na fomu 83 zinazorekodi wasimamizi wa uchaguzi waliopokea vifaa hivyo.
Aliyekamatwa ni Matovu Micheal...
Serikali ya Uganda imeweka masharti mapya yanayozuia vyombo vya habari kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano siku chache kabla ya uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Januari 15, 2026.
Kupitia agizo lililotolewa Januari 5 na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Presha ya uchaguzi imekuwa kubwa sana nchini Uganda huku wananchi wakionesha kuchoka na rais wa wa tangu mwaka 1986 Mzee Museveni.
Siku ya uchaguzi ni 15 January 2026 na sioni ikiisha salama kama ilivyozoeleka,
Museveni ameshatoa onyo kuna risasi nyingi kuzidi waandamaji, tayari kajiandaa kwa...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais mwaka 2026 dhidi ya Rais Yoweri Museveni.
Tangazo hilo lilitolewa leo katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa kwa ajili ya kuonyesha cheti chake cha kuwania urais kupitia...
Jenerali Moses Ali, Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, ameanza rasmi kampeni zake za kugombea tena kiti cha ubunge cha East Moyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026.
Akiwa na umri wa miaka 86, Jenerali Moses Ali amesifiwa na wananchi wa Uganda kwa mchango wake mkubwa katika utumishi wa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.