uchaguzi serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hoja ya Makamba kuwa maboresho ya sheria ya uchaguzi yamefanyika ni dhaifu

    Nimefuatilia hoja za mbuge wa Chadema covi 19 kuhusu hoja zake kinzani na No reforms No Election kwamba Chadema wamejishauri vibaya kwa kukataa kusaini kanuni na kwamba muda uliobaki wa kufanya mabadiliko yoyote ni mfupi mno kwa Mchakato wa kibunge. Nadhani ameshindwa kujua sababu kubwa...
  2. LGE2024 Mchengerwa: Bilioni 254.82 zilitumika uchaguzi serikali za mitaa

    "Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya...
  3. PreGE2025 LGE2024 Rukwa: Lissu amtangaza Mwenyekiti wa Kijiji cha Ntalamila (CHADEMA) kama mshindi, baada ya Tume kutomtangaza

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  4. LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa 2024 vyombo vya habari havikuripoti kufeli na kufanikiwa kwa wagombea waliokuwa madarakani

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma (SJMC) kwa miaka kadhaa kimekuwa kikitekeleza mradi unaojulikana kama 'Yearbook' ukiwa ni utafiti kuhusu “Ubora wa Maudhui ya Vyombo vya Habari Tanzania. Katika mwaka 2024 utafiti huo ulichunguza uripoti...
  5. W

    LGE2024 ACT-Wazalendo kupinga matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa Mkuranga

    Leo, tarehe 6 Machi 2025, Wakili Mwanaisha Mndeme amewasilisha shauri la uchaguzi katika Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, akiwawakilisha waliokuwa wagombea wa uchaguzi wa serikali ya kijiji cha Tambani, wilayani Mkuranga, kupitia chama cha ACT Wazalendo. Shauri hilo limewasilishwa...
  6. PreGE2025 Amos Makala: Kama tumeshinda uchaguzi serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea ushindi ni huohuo uchaguzi mkuu Oktoba

    "Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi...
  7. PreGE2025 Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?

    Wakuu, Tumemaliza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November, 2024 na sasa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tumeona hamasa zikifanywa na watu mbalimbali juu ya ushiriki wa wanawake katika ngazi mbalimbali, lakini je, inatosha? Uchaguzi wa serikali za mitaa umeisha, ushiriki wa...
  8. Vyama 3 vya upinzani vyaungana kupendekeza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

    Wakuu, Hivi vyama vya upinzani vilikuwa wapi kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuanza? Yaani Uchaguzi umeisha ndo wanaanza kutoa maoni? Maoni haya yana umuhimu gani sasa hivi kama CCM wameshapora Uchaguzi na kushinda asilimia 99? Naanza kuamini hivi vyama kweli ni CCM B...
  9. Jaji Warioba afunguka kasoro za Uchaguzi Serikali za Mitaa, atahadharisha vyombo vya usalama kujihusisha na Siasa

    Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa https://www.youtube.com/watch?v=DRuPxvMW3Fk Mchakato tulioumaliza sasa hivi (Uchaguzi wa Serikali za Mitaa) yametokea yale yale ya...
  10. W

    Mengi yamesemwa kuhusu uchaguzi serikali za mitaa lakini upinzani mjitathimini

    Chadema ilipoteza mwelekeo kwenye Njiapanda ya utawala kati ya JK na JPM. Unajua ukitaka kuwa loyal simamia kile unachokiamini mwanzo mwisho hata kama adui akija akaanza kukisimamia unachokiamini ungana nae, akienda tofauti achana nae. Kwanini kwa JK CDM ilikuwa na Nguvu na kwa JPM ikaanza...
  11. Kwanini TLS ya Mwabukusi imefilisika ghafla? Hela zimeenda wapi? Imeshindwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

    Najiuliza taasisi tajiri kama hii fedha zake zinekwenda wapi? Tena muda mfupi tangu uongozi mpya iingie madarakani? Jamani!
  12. LGE2024 CHADEMA Ivishirikishe Vyama Vingine Katika Kutoa Msimamo wa Pamoja Kuhusiana na Uharibifu wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake. Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini vyama kama ACT Wazalendo na CUF, vina watu makini, wenye ushawishi, utashi na dhamira njema, na...
  13. LGE2024 William Makufwe: Mkatende haki, msiwaonee watu, akiwaapisha viongozi waliochaguliwa

    Wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji na wajumbe wa halmashauri ya kijiji kundi maalumu wanawake na mchanganyiko wameapishwa katika kata tofauti tofauti za wilaya ya Makete mkoani Njombe Uapisho huo umefanyika leo Novemba 28, 2024 na kuongozwa na Hakimu Mkazi Denis Rwelamiba Mjwahuzi siku moja...
  14. M

    Hali hii ya kisiasa Tanzania itaendelea mpaka lini?

    1. Ikiwa Bunge, Mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na kila kitu vipo mikononi mwa mtu mmoja: Je, kuna demokrasia hapo? Je, kuna haki hapo? Kwa kifupi, ni kwamba kama mchakato mzima wa uchaguzi utaendelea kuratibiwa na wateule wa Rais, watendaji wa serikali na waajiriwa wa serikali iliyopo...
  15. LGE2024 Kagera: Wananchi waipa CCM Katerero 100% uchaguzi Serikali za Mitaa

  16. LGE2024 Rungwe: CHADEMA yashinda Uchaguzi Serikali za Mitaa katika Kata ya Ndato, Kijiji cha Goye

    Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika Kijiji cha Goye. Ushindi huu umeonyesha umaarufu na ushawishi mkubwa wa CHADEMA katika eneo hilo.
  17. LGE2024 Rais Samia ameipa ushindi CCM Uchaguzi Serikali za Mitaa kutokana na kutekeleza Ilani ya chama kikamilifu

    Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa . Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani? Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
  18. R

    Yaliyojiri leo kwenye uchafuzi katika kile kinachoitwa uchaguzi wa leo, TANGANYIKA DIASPORA isaidie nchi yetu

    Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika. Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi Kutokea hapa...
  19. LGE2024 Dodoma: RC Senyamule apiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepiga kura katika kituo cha shule ya msingi Dodoma Mlimani iliyopo Mtaa wa Salmini kata ya Tambukareli. Baada ya kupiga kura amezungumza na Waandishi wa habari ambapo amewahimiza wakazi wa Dodoma kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kujitokeza...
  20. LGE2024 CHADEMA Iringa mjini wasusia Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Iringa Mjini kimesusia uchaguzi wa serikali za mtaa kwa Kilee walichokiita kutoridhishwa na mwenendo mzima wa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Iringa mjini. Akizungumza na Nuru Fm mwenyekiti wa Chama Cha Dermokrasia Na Mandeleo {Chadema} Jimbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…