Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, kijana mmoja amehoji uwazi wa kuzungumza akielezea changamoto aliyopata kutafutwa baada ya kutoa kauli Oktoba 22, 2025 "...
“Tulibebeshwa miili ya marehemu waliopigwa risasi… hali hii imetuathiri kisaikolojia, tusaidiwe.”
Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025 umeripotiwa kuambatana na matukio mengi ambayo kwa raia wengi yalikuwa mapya na ya kutisha. Simulizi kwenye mitandao ya kijamii na mitaani zimeacha huzuni...
Jamaa kaona ya nini tena baada ya kukaa mahabusu kwa siku kadhaa kaona siasa ngumu kaamua akiche siasa
=============
Katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi wa Chama Cha ACT - Wazalendo Mkoa wa Njombe Ally Mhagama (Saga Saga), ambaye pia alikuwa mgombea wa Udiwani wa Kata ya Mkongobaki Wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.