uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awaonya wanasiasa wanaoanzisha vijiji ndani ya hifadhi

    Rais Samia Suluhu Hassan ameonya Wanasiasa, hususani wabunge na Madiwani kuanzisha vijiji katika maeneo ya hifadhi pindi wanapoona chaguzi zinakaribia na hawakubaliki. Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara alipozungumza na wananchi wa Ifakara katika...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii 'Samia Legal Aid Campaign' ni kiashirio kwa ameshaanza Kampeni? na je, itakuwepo na baada ya Uchaguzi Mkuu ujao?

    Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao kwenda Paje Kizimkazi Zanzibar ili akawauze kwa Waarabu.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao

    Ni bayana, Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao... Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Samizi atembelea Gereza la Nyamisivyi Kibondo kuwaona wafungwa, atoa msaada wa sabuni na mifuko 100 ya simenti

    🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️ Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya mahitaji yao pamoja na kukabidhi Simenti mifuko 100 alizoahidi ikiwa ni moja ya kuunga mkono juhudi za...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Juliana Masaburi ‘Awashika Mkono’ UVCCM Wilaya ya Ilala Ujenzi Nyumba ya Mtumishi

    MBUNGE JULIANA MASABURI AWASHIKA MKONO UVCCM WILAYA YA ILALA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Anayetokea Mkoa wa Mara) Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 03 Agosti, 2024 alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa Baraza la UVCCM Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aonya makundi yanayoanza kuibuka ndani ya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho. Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini mwaka wa Uchaguzi Mkuu nchini huwa hakuna mvua? Tunzeni vyakula ndugu zanguni

    Mwafrika ana mambo fulani hivi ya kushangaza lakini yapo na huwezi kuyajibu kisayansi. Mwaka unaogawanyika kwa 5 au tuseme mwaka wa uchaguzi huwa kuna uhaba wa mvua,watabiri wa hali ya hewa huwa hawana majibu kwa hili jambo. Mzee mmoja akaniambia kwa hiyo ulitaka mwenyekiti wa chama ahutubie...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Wafuasi wa Tundu Lissu 2015 Mbowe alimleta Lowassa na 2020 akamleta Nyalandu, hatujui 2025 atamleta nani kutoka CCM!

    Binafsi sioni sababu ya Chadema kusitasita kumtangaza Mgombea Urais wa JMT 2025 kwa ticket yao CCM tayari inajulikana atasimama Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ACT Wazalendo wameshatangaza atagombea Zitto Kabwe Chadema hawajatangaza ila Tundu Antipas Lisu amejitangaza yeye mwenyewe Ni hilo tu...
  9. JamiiForums Tanzania UCHAGUZI MKUU VS UWAZI WA VYAZO VYA FEDHA NS MATUMIZI

    Tunaelekea na tumekaribia msimu wa uchaguzi pamoja na mwaka wa uchaguzi mkuu.. Halipingiki fedha ni chambo muhimu ktk kufanikisha uchaguzi ktk vyama na kwa wagombea udiwani,ubunge na urais.Lakini vyanzo vya fedha husika vyapaswa kuwa wazi ktk muktadha wa kuepuka fedha chafu,Za maadui wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambako Vyama vvya Upinzani husakamwa kuliko chama kinachotawala. wanahamisha nguzo za goli

    Hii nchi iko hapa ilipo kwa sababu ya Wakusanya kodi wa hii nchi, chini ya CCM. hawa ndio wanafanya maisha yawe magumu sana. Hawa wakusanya kodi ndio wanao dalalia nchi kwa Waarabu na Wazungu na sio Wapinzani. Hawa ndio wanao chota pesa BOT, na kwingineko. Wakusanya Kodi ndio wanao sabanisha...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ungependa zoezi la Upigaji Kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 lifanyikaje?

    Wakuu, Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais. Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka kufikia leo ungependa zoezi la uchaguzi lifanyikaje ili kuongeza uwajibikaji, utawala bora pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

    Wanabodi, Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf. Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya maeneo, uchaguzi huendeshwa kwa mtindo wa Mutatis Mutandis!. Hivyo kwa heshima na taadhima...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Nape Nnauye anapaswa kushtakiwa kwa kauli aliyotoa huko Bukoba?

    Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu. Lengo la Uzi huu ni kufahamu Je kauli hiyo kweli imetolewa na Nape?Je aliitoa Bukoba?Je Ni kauli sahihi kutoka kwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  16. JamiiForums Tanzania Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson, ameifungulia kesi Serikali ya Tanzania Pamoja na Mamlaka za mawasiliano kwa jambo lile la kishamba la mwaka 2020 ili Mahakama ichukue hatua na itamke kwamba jambo kama...
  17. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Rwanda: Kagame ashinda Uchaguzi kwa kishindo

    Matokeo ya awali yanaonesha Paul Kagame amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kushinda uchaguzi wa Jumatatu kwa zaidi ya 99% ya kura. Kagame mwenye umri wa miaka 66 alishinda uchaguzi wa 2017 kwa 98.63% ya kura, kiwango cha juu zaidi ya 93% aliyopata mwaka wa 2010 na 95% mwaka wa 2003. Wakosoaji...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wasichague viongozi kwa mihemko ya kivyama au chuki, bali kwa uwajibikaji na sera bora zinazotimizika

    Kumekuwa na mashindano mengi ya mpira hasa mpira wa miguu kwenye majimbo na kata mbali mbali nchini. Kwa jicho la kawaida ni jambo zuri lakini kama ukijiuliza ni kwanini ije kipindi hichi na sio miaka miwili au tatu iliyopita tena ikija na ahadi nyingi na fedha nyingi basi utagundua ni siasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kipi kitakuongoza kufanya maamuzi ya kuchagua kiongozi wako katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao?

    Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu, Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi? Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unatarajia ilani nzuri kiasi gani ya CCM uchaguzi mkuu ujao?

    Heshima, Upendo, Matumaini na Kuaminika, kwa Chama Cha Mapinduzi kwa wanainchi wa Tanzania, kuna tokana pamoja na mambo mengine, ni utekelezaji wa wa mafanikio makubwa sana, wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2020-2025, kiuchumi, kijamii na kisiasa. waTanzania na wananchi, wanaiona CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…