uchaguzi mkuu uganda 2026

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Yoweri Museveni atangazwa kushinda Urais wa Uganda kwa 71.6%

    Tume Huru ya Uchaguzi imemtangaza Rais Museveni, mwenye umri wa miaka 81, kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, akipata asilimia 71.6 huku mpinzani wake Bobi Wine akishika nafasi ya pili kwa asilimia 24.72 ya jumla ya kura halali zilizopigwa, na kuendeleza utawala...
  2. McLaren

    Watu 7 wafariki kwenye vurugu za Uchaguzi nchini Uganda

    Takribani watu 7 wameuawa katika vurugu zilizotokea usiku kwenye eneo la katikati mwa Uganda baada ya uchaguzi mkuu ambao unaendelea nchini humo Matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi yanaonesha Museveni akiongoza kwa zaidi ya asilimia 75 ya kura katika uchaguzi wa urais uliofanyika...
  3. M

    Yoweri Museveni anaongoza mbio za urais dhidi ya Bobi Wine

    Kufikia tarehe 16 Januari 2026, matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Uganda bado yanaendelea kuhesabiwa kufuatia upigaji kura uliofanyika Januari 15. Taarifa rasmi zinatarajiwa kutolewa ifikapo Januari 18. Matokeo ya awali kutoka vituo 133 vilivyojumlishwa yanaonyesha Yoweri Museveni (NRM)...
  4. M

    Bobi wine apamba moto. Je, Museveni ataweza zuia tsunami ya vijana?

    Aisee Huu mchuano sio wa kukosa haya machama mawili yote yanaonekana kuukamia mchezo Ukicheki chama la wanna (NUP) dhidi ya wakongwe (NRM) kila mtu yuko na energy na passion. Hii ngoma naiona haiwezi amuliwa 90a u 120 minutes. Hii ngoma naiona ikifika penalty
  5. Scared

    Kwa nilichokiona kwa Bobi Wine jana, Museveni jiandae. Uganda lazima wachapane

    Jana Kuna video nimeona Gen Z wa Uganda yaani wana vibe la hasira wakimshangilia Bob Wine Aisee hiki ni kipindi kibaya sana Kwa majizi na madiktekta duniani Yaani vijana wanawakataa hadharani. Fikiria vijana wako radhi wauwawe ila sio kukubali kuendeshwa na diktekta kitawaka hapo Uganda kesho
  6. McLaren

    Uganda yatangaza kuzima Intaneti kuanzia leo Januari 13 ili kupisha Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa. Kwa mujibu...
  7. R

    Bobi Wine asema ataitisha Maandamano Museveni akiiba kura

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametangaza kuwa ataitisha maandamano ya nchi nzima ikiwa Rais Yoweri Museveni ataiba kura katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Alhamisi ya wiki hii. Akizungumza na shirika la habari la AFP nyumbani kwake jijini...
  8. McLaren

    Mwanamke afariki dunia akigombea fulana za chama cha NRM zenye picha ya Museveni kwenye mkutano wa kampeni

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 28, Rose Ajiko, amefariki dunia baada ya kukanyagwa katika msongamano wa watu wakati wa kugombea fulana za NRM wilayani Soroti. Tukio hilo lilitokea Jumamosi Januari 10, 2026, katika mkutano wa kampeni wa Mbunge wa Kaunti ya Soroti, Patrick Aeku, uliofanyika Shule...
  9. R

    Polisi Uganda wamkamata mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu kuelekea uchaguzi mkuu 2026

    Polisi nchini Uganda wamesema wamemkamata mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, hatua inayokuja wakati serikali ya Rais wa muda mrefu Yoweri Museveni ikiendelea kuimarisha ukandamizaji dhidi ya wapinzani na sauti za upinzani, kuelekea uchaguzi mkuu wa Januari 15, 2026 Kukamatwa kwa Sarah...
Back
Top Bottom