uchaguzi mkuu uganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    Uganda yazifungia zaidi ya asasi 10 za kiraia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2026

    Serikali ya Uganda imeyafungia mashirika yasiyo ya kiserikali 10, huku ikieleza sababu za kuchukua hatua hiyo. Uamuzi wa kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za baadhi ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini humo, umefanyika ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu kesho...
  2. McLaren

    Museveni Vs Bobi Wine: Uzi Maalum wa kinachoendelea kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Uganda 2026

    Wakuu, Kama wote tunavyojua kuwa huko Uganda inatarajiwa kufanya Uchaguzi Tarehe 15 Januari na kufikia sasa kampeni zimeendelea kupamba moto na kutaradadi huku washindani wakubwa kwenye Uchaguzi akiwa ni Bobi Wine wa NUP pamoja Yoweri Museveni wa NRM Uzi huu utakusogezea Updates zote za...
  3. Mafyangula

    Vurugu zazuka kampeni za Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) wilaya ya Iganga, Jeshi lawatawanya wananchi kwa risasi

    Siasa za Afrika ni ngumu sana, Ukishangaa ya Tanzania basi utayakuta ya Uganda. Musevi anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuendelea kubaki kwenye kitu cha urais, huku taswira ni kwamba wananchi wa Uganda wameshamkataa maana umasikini bado upo sana! =================== Hizi ni vurugu kwenye...
  4. W

    SI KWELI Museveni amemuonya mwandishi Larry Madowo kuelekea uchaguzi mkuu Uganda

    Wakuu Nimeona hii video ikimuonesha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye pia ni mgombea wa wa Urais kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Janury 2026.
  5. R

    Tume ya Uchaguzi Uganda yatangaza uchaguzi mkuu kufanyika Januari 15, 2026

    Oktoba 21, 2025 Tume ya Uchaguzi nchini Uganda ilitangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanyika tarehe 15 Januari 2025, ikithibitisha rasmi tarehe ya wananchi kuchagua rais na wabunge wapya amabapo kwa sasa mikutano ya vyama imekuwa ikiendelea Rais Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 81 na ambaye...
  6. M

    Sanamu za Rais Museveni zatumika kufanya kampeni maeneo asiyokuwepo kuelekea uchaguzi wa 2026

    Ugandan President Yoweri Museveni statues are seen campaigning on his behalf ahead of the upcoming 2026 elections. Pia soma > Rais Museveni aidhinishwa na Chama chake (NRM) kuwa Mgombea Urais 2026
Back
Top Bottom