Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema ikiwa wananchi watampa ridhaa ya kuwa rais serikali yake itarejesha reli ya kutoka Masasi (Mtwara) - Dar es Salaam ambayo ilisitisha shughuli zake 1972
Akizungumza Oktoba 21, 2025 katika mkutano wa kampeni na wananchi wa Wilaya ya...
Wakati Tanzania ikiendelea na maigizo uchwara ya uchaguzi kiini macho unaopingwa kila kona ya nchi na Watanzania, nchini Malawi ambako demokrasia inaonekana kushamiri zaidi, Mgombea anaetetea kiti chake Hon. Lazarus Chakwera anaonekana kuangukia pua.
Matokeo yasiyo rasmi yanayoendelea...
Wananchi wa Malawi wanatarajiwa kupiga kura Septemba 16, 2025 kuchagua rais mpya, wabunge na madiwani, ikiwa ni baada ya miaka mitano tangu uchaguzi uliopita ambapo vyama 17 vitashiriki huku wagombea wenye mchuano mkali wakitajwa kuwa ni:
1. Lazarus Chakwera – Mgombea wa The Malawi Congress...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.