uchaguzi chadema

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. sonofobia

    Mbowe hakumtaja Soka na wenzake kwenye hotuba yake badala yake akasifia uongozi wa Rais Samia. Atalipia machozi ya waliopotea

    Kijana Deus Soka umeipambania Chadema kwa jasho na damu. Mara kadhaa umekaa jela, umepigwa, umeumizwa umepitia madhila mengi ukiamini unapigania mabadiliko ya kweli. Ulikuwa mstari wa mbele kuipigania katiba mpya tulikuona ukipigwa virungu na mateke ulipojitokeza na wenzio kumi maandamano ya...
  2. Mindyou

    PreGE2025 Mwanaharakati Odero Charles Odero ajitosa kuwania nafasi ya Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu, Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kesho, Jumatatu, Desemba 23, 2024 katika...
  3. DR HAYA LAND

    Kwakuwa vyama vya siasa vimekuwa na uongo mwingi je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea binafsi (huru) ambaye hana chama chochote?

    Vyama vya siasa asilimia kubwa vimekuwa na uongo mwingi sana, je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea huru, ambaye hana chama cha siasa. Nimepitia CV ya mtu anajiita Tundu Lissu nimeona hakustahili kuwa na chama chochote kwa nchi kama Tanzania ila angekuwa mgombea huru. Unapozungumzia...
  4. Nehemia Kilave

    Ni chama kipi kwa sasa kati ya hivi itakuwa sehemu sahihi kwa Tundu Lissu na wapenda mabadiliko?

    Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola . Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa . Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
  5. Tlaatlaah

    Tundu Lissu hana mpango mkakati wa Kupambana na Rushwa

    Kwa jinsi alivyo hawezi kukataa kupokea rushwa, wala hawezi kupambana na rushwa kwa namna yoyote ile. Kwanza ni mbinafsi na amezongwa na shida za kifamilia sana. Na, ni mtu wa tamaa na uchu kupindukia, hususani kwenye suala la fedha, vyeo na madaraka. Ukimfuatilia kwa makini katika mazungumzo...
  6. Knock life

    Niliwahi kuwaambia kuwa CCM na CHADEMA ni chama kimoja na nikawaambia Simba na Yanga ni timu moja, ila sikueleweka

    CHADEMA na CCM niliwaambia ni chama kimoja. Hata huyu mnayemuita Lissu ni tajiri mkubwa tu Ila yeye alichofanikiwa ni Ku-play low key na kuendana na watu wanaoitwa wanyonge, hii mbinu pia alikuwa anaitumia Magufuri this guy was multimillionaire Ila alikuwa anaigiza kuwa yeye pia ni mtoto wa...
  7. kichongeochuma

    Wajumbe CHADEMA mkipokea Rushwa mjue ndio itakuwa kifo cha chama chenu

    Wajumbe najua wengi mpo humu na mnasoma haya na mnaziona harakati na vikao vya siri na vya wazi mnavyo endelea navyo huko mafichoni, sasa kama mtajichanganya shauri yenu na heshima ya chama chenu mliyo ijenga miaka yote itapotea kabisa ndiyo mtakuwa mnakiua kama vilivyo kufa vyama vingine...
  8. chiembe

    PreGE2025 Kwanini CHADEMA wanaolilia katiba mpya hawataki kufuata katiba yao inayoruhusu Mbowe agombee?

    Hawa jamaa walitunga katiba ambayo inampa haki Mbowe agombee na amegombea, Lissu kagombea. Hakuna aliyevunja katiba. Kwa nini wanaona Mbowe kugombea ni tatizo? Lissu anataka mteremko? Si apiganie kura kwa wajumbe? Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea...
  9. FK21

    PreGE2025 Zitto Kabwe mwanasiasa mwenye akili nyingi

    Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha ACT na amewaachia wengine uongozi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo...
  10. L

    Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika Mashariki aliyekwepa mishale mingi kama Mbayuwayu Anapendwa na wana CHADEMA,huyu Mwamba anakubalika,anaaminika na wana CHADEMA sijapata kuona. Huyu Mwamba Anapendwa na...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Kuhusu kupokea pesa za Abdul, Mbowe asema Lissu aache kuwapaka matope wenzake

    Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa. Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni kuwachafulia watu wengine waliojenga reputation zao kwa muda mrefu. Mbowe amemuasa Lissu. Pia soma: Pre...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Mbowe: Mimi sijachoka, ukomo wa madaraka ni watu wanaokutaka au kukukataa

    Wakuu, Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze. Mbowe asema ukomo wa madaraka ni watu wanaokutaka au kukukataa, na huu ndio ukomo halisi wa demokrasia...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Mbowe: Madai ya serikali ya nusu mkate ni uongo, aliyeniahidi ahadi lukuki alikuwa Magufuli, nilitakaa

    Wakuu, Na Msigwa alianza hivi hivi, baadaye tukasikia huyoooo anazima nyingine na kuwasha kijani! ===== Mbowe anasema serikali ya nusu mkate haijawahi kuwa ajenda ya chadema mahali popote, yeye mwenyewe anashangaa mtu amezuka huko na kusema eti Mbowe ameahidiwa kupewa uwaziri mkuu, huo ni...
  14. Cute Wife

    PreGE2025 Mbowe: Wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea

    Wakuu, Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake? ==== Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 Kwa huzuni aliyokuwa nayo Mbowe inaonesha anaenda kuachia ngazi akiwa na uchungu sana, kwa kulazimishwa ila si mapenzi yake

    Wakuu, Inaonesha Mbowe anaenda kuachia kijiti, anaongea kwa uchungu kama Lucas Mwashambwa anavyobubujikwaga machozi ya huzuni :BearLaugh: :BearLaugh: Au ndio anatuonyesha ile historia yake aliyosema haitaji kujieleza ili ajilipue?:BearLaugh: Ulishatuambia huhitaji kujieleza sana, sasa kwanini...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    Mbowe ukishinda tafadhali mteue Halima Mdee kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Katika kukiunganisha chama na kuondoa tofauti zetu, tafadhali sana Mh. Freeman Mbowe, mara baada ya kushinda kwa kishindo katika nafasi ya uenyekiti, mteue ndugu Halima Mdee kuwa katibu mkuu wa chama. Mbali na kukiunganisha chama, utakuwa umezingatia genda. Pia itaonesha kuwa wewe ni mlezi...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Mdude: Mbowe pumzika tunamhitaji Lissu kwa sasa

    Wakuu, "Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa...
  18. Bezecky

    PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

    Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa. Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo. Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...
  19. Cute Wife

    PreGE2025 CHADEMA Iringa wamkana Mwenyekiti Mungai kauli ya kumuunga mkono Mbowe

    Wakuu, Badamu batachuruzika safari hii! ===== Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na viongozi wengine wameibuka kupinga kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, William Mungai...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Heche: Tumekaa kimya kuepusha mpasuko zaidi ndani ya chama, wakati muafaka ukifika nitatoa mwelekeo wangu

    Wakuu, Heche ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X Tuna jukumu la kihistoria la kuhakikisha tunaipatia Nchi yetu chama mbadala, na serikali mbadala itakayowatumikia watu na kuwaondoa katika umasikini wa miaka 63 ya Uhuru. Serikali na chama kitachopinga rushwa bila aibu, chama...
Back
Top Bottom