Wakazi wa Douala wameendelea kuandamana kwa siku ya pili mfululizo baada ya kutangazwa kwa Rais Paul Biya kuwa mshindi wa urais kwa mara ya nane, hatua iliyozua hasira kubwa miongoni mwa wananchi. Vikosi vya usalama vimepelekwa katika mitaa kadhaa ya jiji hilo baada ya vurugu kushika kasi...
Takriban watu wanne wameripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya upinzani yaliyofanyika Jumapili Oktoba 26, 2025 mjini Douala, Cameroon, ambapo Waandamanaji walikuwa wakilalamikia madai ya wizi wa kura kufuatia uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12.
Mgombea wa upinzani Issa...
Maelfu ya waandamanaji walimiminika mitaani jijini Douala, mji mkuu wa kiuchumi wa Cameroon, siku ya Jumapili Oktoba 26, 2025 wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na kiongozi wa upinzani, Issa Tchiroma Bakary. Waandamanaji wengi wakiwa ni vijana, walipita katika mitaa mikuu ya jiji hilo wakitaka...
Viongozi wawili wakuu wa upinzani nchini Cameroon wamekamatwa, chama chao cha Union for Change kilisema kupitia taarifa iliyotolewa Oktoba 24, 2025 — hatua inayoongeza mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi wa Oktoba 12, 2025
Anicet Ekane na Djeukam Tchameni, ambao wote walimuunga mkono Issa...
Takribani watu 20 wamekamatwa nchini Cameroon kuhusiana na maandamano yanayohusiana na uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, huku mvutano ukiendelea kuongezeka kabla ya matokeo rasmi kutangazwa wiki hii
Waziri wa Utawala wa Ndani, Paul Atanga Nji, amethibitisha kukamatwa kwa baadhi ya...
Kanisa Katoliki nchini Cameroon limetoa wito wa utulivu huku kukiwa na hofu ya kutokea machafuko, wakati nchi hiyo ikisubiri matokeo rasmi ya uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025. Kanisa hilo limesema matarajio yao ni kwamba matokeo yatakuwa na uwiano na maoni ya wapiga kura.
Kwa...
Baada ya uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 12 Oktoba nchini Cameroon, pande zote mbili chama tawala na upinzani zinadai ushindi, ingawa matokeo rasmi yanatarajiwa kutolewa wiki ijayo
Katika jiji la bandari la Garoua, kaskazini mwa Cameroon, wafuasi wa kiongozi wa upinzani Issa Tchiroma...
Usiku wa Oktoba 15, 2025 ghasia kubwa ilizuka nchini Cameroon kufuatia maandamano ya wananchi wakichoma baadhi ya majengo ya Serikali na Jengo la chama cha Cameroon People's Democratic Movement(CPDM) kwa madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 huku matokeo rasmi...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Cameroon, Paul Atanga Nji, amepinga madai ya ushindi yaliyotolewa na mgombea wa upinzani Issa Tchiroma Bakary na kumtuhumu kwa jaribio la kuvuruga mchakato wa uchaguzi.
Katika taarifa yake, Atanga Nji alisema “Mgombea huyu mwenye ujanja anajaribu kutekeleza mpango wa...
Raia wa Cameroon walipiga kura Jumapili, Oktoba 12, 2025, katika uchaguzi unaotarajiwa kumrejesha madarakani Rais Paul Biya, mwenye miaka 92, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miongo minne. Uchaguzi huo, uliofuatiliwa kwa karibu na wachambuzi wa ndani na wa kimataifa, umeibua mjadala...
Mgombea urais wa upinzani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, ametangaza ushindi wake katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 akimtaka Rais Paul Biya akubali matokeo na “aiheshimu sauti ya wananchi kupitia sanduku la kura.”
Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.