ubunifu wa kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Nimefurahishwa na ubunifu wa kibiashara wa msanii Asma

    Juzi nimepita mitaa ya Sinza na kufurahishwa sana na huyu msanii (comedian) wa kike Asma kwa ubunifu alioufanya kwenye biashara. Kimsingi kaamua kwenda na mazoea ya watu maarufu wengi. Badala ya kufungua duka la nguo (boutique) au vipodozi kama ilivyo kwa watu maarufu wengine yeye kaja na...
  2. D

    JamiiForums Ipi Biashara nzuri kati ya hizi?

    Salaam Wakuu!! Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto. Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya pweza ni adimu sana na hii ni kwasababu ya...
Back
Top Bottom