ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

    Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ni makosa kuwateua akina Mkumbo nafasi za kiutendaji Serikalini

    Kuna mtindo ndani ya CCM kuwateua walioshindwa ktk mchakato wa ubunge kushika nafasi za utendaji serikalini. Ni makosa na hasara kwa wananchi wanaohitaji utendaji bora. Hawa ni wanasiasa wasio na utendaji mzuri kitaaluma na wanaweza kuwa wamefikia ukomo wa fikra ktk serikali. Wanapoteuliwa ktk...
  3. JamiiForums Tanzania Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini. Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…