ubunge viti maalum

  1. Mafyangula

    GE2025 Sigrada Mligo: Mimi sijafurahia kuwa Mbunge katika Bunge ambalo taifa linavuja damu

    Sasa kama ujafurahishwa mbona umefika huko Bungeni? au unatuletea unafiki wako hapa! Wewe kama umeona kuna hali mbaya kwa Watanzania wakati huu ungekataa, ila ukakubali kabisa na kufika hadi huko. Pesa tamu wewe tuache sisi kutulamba mikono wakati unataka kuvila vidole vyetu. ===============...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea ubunge viti maalum: Samia amekuza fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania

    Mgombea Ubunge wa Viti maalumu kupitia Kundi la Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha, Lulu Mwacha amemshukuru Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwaamini Vijana katika nafasi za uongozi pamoja na kutoa fursa za Ajira kwa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Martha Gwau awashukuru wajumbe, apita ubunge viti maalum mkoa wa Singida

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Martha Nehemia Gwau ambaye amemaliza muda wa miaka mitano 2020-2025 amefanikiwa kutetea nafasi yake kwav kupata idadi nyingi ya kura alizopigiwa na Wajumbe Mkutano Mkuu wa UWT Mkoa wa Singida Katika jumla ya kura 1071 zilizopigwa, Martha Nehemia...
  4. Just Pray

    GE2025 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo achaguliwa kura za maoni nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ameshinda nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara akipata kura 320 nyuma ya Ng’wasi Kamani mwenye kura 409 na Jesca Magufuli mwenye kura 409. Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi mnamo Agosti 1, 2025 na kufikia tamati alfajiri ya leo...
  5. Just Pray

    GE2025 Morogoro: Walioshindwa kura za maoni ubunge viti maalum, wasema wamepokea matokeo kwa heshima na utulivu

    Watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Jane Mihanji na Hajra Mwikoki, wamesema wamepokea kwa heshima na utulivu matokeo ya kura za maoni zilizofanyika hivi karibuni. Kwa nyakati tofauti wamesema, licha ya kutoshika...
  6. Just Pray

    GE2025 Keisha atupwa nje ubunge viti maalum Jumuiya ya wazazi

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, wamewachagua Najma Murtaza Giga (kutoka Zanzibar) na Dkt. Catherine Joakim (kutoka Tanzania Bara) kuwa wawakilishi wa Jumuiya hiyo katika nafasi za Ubunge wa Viti Maalum. Katika uchaguzi huo, aliyekuwa Mbunge...
  7. Just Pray

    GE2025 Mgombea ubunge viti maalum mwenye umri mdogo zaidi akiomba kura aahidi kuwasemea vijana kuhusu ajira

    Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Lightness Greyson Kihombo (23), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwania mojawapo ya nafasi sita kwa upande wa Tanzania Bara. Lightness, ambaye ni mgombea mwenye...
  8. Ojuolegbha

    GE2025 Agnes Marwa Awashukuru Wajumbe wa UWT Mara Julai 31, 2025 - Ubunge Viti Maalum Mara

    Agnes Marwa Awashukuru Wajumbe wa UWT Mara Julai 31, 2025 - Ubunge Viti Maalum Mara
  9. peno hasegawa

    GE2025 Prof. Kumburu ateuliwa kugombea ubunge Viti Maalumu Wasomi Vyuo Vikuu na jimbo Moshi Mjini

    CCM Ina wenyewe kwa kweli. Mtu mmoja, kateuliwa: 1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini 2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro 3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake. Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka. Uliza ana umri Gani na watoto wako...
  10. Lucas mwashamba

    GE2025 Athuman Issa ateuliwa ubunge viti maalum mkoani Arusha

    Nawasilimu kwa jina la muungano, Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuona mabadiliko ndani ya chama chetu yamefanyika kwa weledi na hakika mabadiliko haya yameleta demokrasia ya kweli ndani ya chama Ndugu zangu mama katufikia na mama tunampenda kwa kutuletea katiba ambayo matunda yake...
  11. W

    Lucy Kombani na Sheila Lukuba waongoza kura ubunge viti maalum mkoa wa Morogoro

    Mchakato wa kura za maoni kuwapata wagombea ubunge viti maalumu kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani Morogoro umekamilika, huku Lucy Kombani akiongoza kwa kupata kura 1,314 kati ya kura halali 1,646 zilizopigwa, akifuatiwa na Sheila Lukuba aliyepata kura 597. Katika mkutano huo...
  12. Nucky Thompson

    GE2025 CCM walisema Ubunge viti Maalum mwisho miaka 10, imekuaje wamepitisha majina ya waliokaa zaidi ya miaka 10?

    Nimeona majina ya wabunge wa viti maalum wa CCM waliokaa zaidi ya miaka 10. Sasa nashangaa lile azimio lao vipi kuwa viti Maalum mwisho miaka 10? Soma pia; Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CHAUMMA yapokea mapendekezo ya Wanawake wa Viti Maalum kwa Uchaguzi Ujao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepokea rasmi mapendekezo ya sifa na vigezo vya wanawake wa chama hicho wanaotarajiwa kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi kupitia viti maalum katika uchaguzi ujao. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam siku...
  14. Mindyou

    GE2025 Wananchi wa Mbeya wamchukulia fomu ya kuwania Ubunge Viti Maalum (Mama Ikupa) Ikupa Mwaifani

    Wakuu, Wananchi wa mkoa wa Mbeya leo Julai Mosi wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ikupa Mwaifani ambaye ni Mkurugenzi wa Ikupa Financial Services Wamemchukulia fomu hiyo kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) wakieleza lengo la...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Katibu wa Uchumi na Fedha wa UVCCM Kilimanjaro, Happy Shirima ajitosa Ubunge Viti Maalum

    Katibu wa Uchumi na Fedha wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro, Comrade Happy .J. Shirima amechukua Fomu ya Ubunge Viti Maalum Kupitia chama Cha Mapinduzi CCM, Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Comrade Happy Shirima ni Mmoja ya Vijana Machachari waliobobea katika...
  16. PAYE

    GE2025 Dkt. Catherine Joachim achukua fomu ya kugombea Ubunge Viti Maalum, kupitia Umoja wa Wazazi CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati ya Afya na Mazingira Umoja wa Wazazi Taifa, Dkt Catherine Joachim, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum katika Umoja wa Wazazi Jumuiya ya Chama cha Mapinduzi. Dkt Joachim amekabidhiwa fomu hiyo tarehe 29 Juni, 2025 na Bi...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zainabu Hassani ajitokeza kwenye kinyang’anyiro cha kuomba nafasi ya Ubunge Viti Maalumu kupitia UVCCM Shinyanga

    Zainabu Hassani, kiongozi kijana, mtaalamu wa sheria na diplomasia, amejitokeza kwenye kinyang’anyiro cha kuomba nafasi ya Ubunge Viti Maalumu kupitia UVCCM Mkoa wa Shinyanga Kiu na azma yake ni kubeba sauti za vijana wenzake ili zipate kusikilizwa na hoja za vijana zifanyiwe kazi katika ngazi...
  18. Ndagullachrles

    PreGE2025 Namrinji Mnzava, mwanamke wa shoka Ajitosa kusaka ubunge viti maalum CCM Kilimanjaro

    Kuna majina manne ya wabunge wa viti maalumu(ccm)mkoa wa Kilimanjaro ambayo wanatajwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwamba watapasua tena katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama cha mapinduzi(UWT)na kuelendelea kupeperusha bedera ya CCM kwenye bunge lijalo la...
  19. DuaZaMama

    GE2025 Khadija Mfaume achukua fomu kuwania ubunge viti maalum Mwanza

    Khadija Mfaume Liganga, maarufu kama Dida, ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa anayewakilisha Mkoa wa Mwanza, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake kupitia Mkoa wa Mwanza. Dida ni mwanaharakati mashuhuri wa haki...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Neema Lugangira achukua fomu ubunge viti maalum Asasi za Kiraia (NGOs)

    Neema Lugangira aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CCM - Kundi la NGOs amechukua Fomu ya Kugombea Ubunge wa Viti Maalum NGOs katika Uchaguzi ujao 2025. Lugangira anatetea nafasi aliyoitumikia katika Bunge la 12, 2020-25 kwa mafanikio makubwa yaliyopelekea CCM kuongeza nafasi ya Uwakilishi kwa Kundi...
Back
Top Bottom