ubunge moshi mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padre amfanyia Maombi Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi vijijini ili aweze kushinda kwa kishindo na kuepukana na Ufisadi

    CCM wanaendelea na mambo ya upako bhana siyo tu Makonda aliyelia na kutoa wapiga kura wake mapepo Wengine wanaombewa kutokuwa mafisadi ----------- Padre Sixbet Kiondo amefanya maombi maalumu ya kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Moris Makoi, pamoja na...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia ubunge Moshi Mjini ashikwa pabaya ,ashindwa kujibu maana ya 4R za Rais Samia

    Msikilizeni, mtatambua mnapeleka wabunge wa aina Gani Dodoma. Elimu ya mgombea ubunge isipozingatiwa,nchi inaangamia. Siasa sio ugomvi siasa ni upendo kama Simba na Yanga kwahiyo naomba maswali ambayo yatatupa maendeleo 4R za Rais Samia mimi mfanyabiashara nizijuwe kwa sababu ya nini, nipe...
  3. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura za Maoni CCM: Mambo muhimu Mbunge wa Moshi Mjini anayohitajika kuyafanya na kuyamaliza kabla ya October 2025.

    Mpendwa Mbunge wa Moshi Mjini, Natumai uko salama na unaendelea vizuri. Kama mwananchi wa Moshi, na mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM, Moshi Mjini, naandika barua hii kukujulisha kuhusu vipaumbele muhimu vya maendeleo ya mji wetu, ambayo ni muhimu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtiania Ubunge Moshi mjini amporomoshea matusi Meya Manispaa ya Moshi

    Hali si swari ndani ya chama cha mapinduzi(CCM)jimbo la moshi mjini ambako kada wa chama hicho na mtia nia wa kiti cha ubunge hapo mwakani kumporomoshea matusi mstahiki meya wa Manipsaa ya moshi,Zuberi kidumo. Taflani hiyo imezuka leo asubuhi nje ya jengo la ofisi za CCM Moshi mjini ambako...
  5. mwanachuo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vigogo wa CCM Mkoa waanza kusaka Ubunge Jimbo la Moshi Mjini

    Joto la siasa limezidi kupanda Mkoani Kilimanjaro hususani Jimbo la Moshi Mjini ambapo inasemekana baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoani hapo wameanza harakati za kuusaka Ubunge kupitia makundi mbalimbali ya kijamii na ya Mitandaoni. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema, Viongozi hao...
Back
Top Bottom