ubunge arusha mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Paul Makonda amwaga machozi akielezea sababu iliyompelekea kugombea ubunge, asema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu

    Wakuu Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi === Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo. Makonda ameeleza...
  2. Erythrocyte

    Nani atagombea Ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya ccm 2030, Ni Pedeshee Makalla au Kihongosi?

    Tumeuliza hili kwa sababu ya Utaratibu wa CCM kwenye jimbo hilo ni kuwateua Wakuu wa Mkoa huo. Sasa aliyekuwepo katoka na aliyekuwa kabla yake kagombea Ubunge, Pedeshee Makalla ndio kawa Mkuu wa Mkoa huo kwa sasa. Kati ya Makalla na Kihongosi nani atanitwalia shamba hilo la Bibi?
  3. R

    PreGE2025 Kikundi cha Wadudu Arusha wakitembea na bango la kumchangia Makonda fedha ya kuchukua fomu kuwanaia ubunge Arusha Mjini

    Wakuu, Kwani Makonda hana fedha ya kuchukulia fomu?
  4. mwanamwana

    PreGE2025 Gambo Vs Makonda: Gambo asema anayetaka Ubunge Arusha aje uwanjani aone kama ngoma ya kitoto inakesha

    Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo. “Kama kuna mtu anataka ubunge, asubiri utaratibu ufike, ajitokeze uwanjani. Wananchi wa Arusha Mjini...
  5. ChoiceVariable

    PreGE2025 Vita ya Ubunge Arusha mjini; Makonda amzuia Mkuu wa Wilaya kushiriki mikutano ya Mbunge Gambo

    Sijawahi ona RC ambae muda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.Pia soma Pre GE2025 - Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho Gambo, akituliza hali baada ya kurushiana maneno Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha Kwa...
  6. mwanamwana

    PreGE2025 Mrisho Gambo: Godbless Lema aliniambia mzigo anaoupiga Rais Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe

    "Nilikutana siku moja na mjomba wangu, Lema, akaniambia: 'Bwana, ni hivi tu, mimi ni mpinzani, siwezi kusema hadharani, lakini nataka niwaambie—mzigo anaoupiga Dkt. Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe.'" "Sasa, kama mtu kama Lema ameanza kuwa na hekima, basi ujue tuko karibu kuiona...
Back
Top Bottom